Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Abdollahian: Iran inapinga uwepo wa madola ajinabi katika eneo

    Abdollahian: Iran inapinga uwepo wa madola ajinabi katika eneo

    Dec 31, 2022 23:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inapinga vikali uwepo wa madola ajinabi katika eneo hili la kistratejia la Asia Magharibi.

  • Jeshi la Iran laanza luteka kubwa ya kijeshi Lango Bahari la Hormuz, Bahari Hindi

    Jeshi la Iran laanza luteka kubwa ya kijeshi Lango Bahari la Hormuz, Bahari Hindi

    Dec 29, 2022 23:04

    Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo pana la kistratejia linaloanzia mashariki mwa Lango Bahari la Hormuz hadi katika ncha ya kaskazini mwa Bahari Hindi.

  • Iran ni mwenyeji wa wanafunzi zaidi ya laki saba wa kigeni

    Iran ni mwenyeji wa wanafunzi zaidi ya laki saba wa kigeni

    Dec 29, 2022 23:04

    Kuna wanafunzi zaidi ya laki saba (700,000) wa kigeni katika shule, taasisi za kielimu na Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • 'Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani'

    'Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani'

    Dec 29, 2022 09:06

    Balozi wa Iran mjini Kabul Afghanistan amesema kuwa, lengo kuu la Marekani la kuivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan halikuwa kupambana na ugaidi bali lilikuwa ni kuzidhibiti nchi zinazopakana na Afghanistan.

  • Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi

    Dec 27, 2022 22:27

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.

  • Raisi: Bibi Fatima (AS) ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi

    Raisi: Bibi Fatima (AS) ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi

    Dec 27, 2022 04:44

    Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu.

  • China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho

    China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho

    Dec 27, 2022 03:56

    China imesema mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yapo katika hatua ya mwisho, na kusisitiza kwamba fursa ya kufufua mapatano hayo ya kimataifa ingalipo.

  • Marekani yakataa kujibu barua ya maripota wa UN kuhusu vikwazo dhidi ya Iran

    Marekani yakataa kujibu barua ya maripota wa UN kuhusu vikwazo dhidi ya Iran

    Dec 25, 2022 08:28

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa chini ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani kwa zaidi ya miaka 40. Kuwekwa vikwazo dhidi ya Iran katika kipindi cha uongozi wa Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani baada ya kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanzisha kampeni ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, kumezidisha vikwazo visivyo na kifani vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Iran.

  • Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

    Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8

    Dec 25, 2022 07:03

    Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili hapa nchini Iran baada ya kuachiwa huru.

  • Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo  kati ya Tehran na Cairo

    Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo kati ya Tehran na Cairo

    Dec 25, 2022 04:09

    Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Waziri Mkuu wa Iraq alipendekeza katika Mkutano wa Baghdad-2 kuhusu suala la kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Misri kuhusu masuala ya kisiasa na kiusalama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS