Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu

    Nov 26, 2022 23:00

    Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.

  • Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran

    Nov 25, 2022 23:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.

  • Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

    Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele

    Nov 25, 2022 09:28

    Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.

  • Raisi: Ustawi wa Iran unawaghadhabisha maadui

    Raisi: Ustawi wa Iran unawaghadhabisha maadui

    Nov 24, 2022 08:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ustawi na maendeleo yanayoshuhudiwa hapa nchini yamewakasirisha mno maadui wa taifa hili.

  • Kuanza urutubishaji wa urani wa asilimia 60 katika kituo cha Fordo; radiamali ya Iran kwa hatua za uhasama za Magharibi

    Kuanza urutubishaji wa urani wa asilimia 60 katika kituo cha Fordo; radiamali ya Iran kwa hatua za uhasama za Magharibi

    Nov 24, 2022 03:47

    Ikiwa ni katika kujibu azimio la hivi karibuni la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran limetangaza uzalishaji wa urani iliyorutubishwa hadi kiwango cha asilimia 60 katika kituo cha Fordo.

  • Kukiri Grossi kuhusu kutokuwepo mpango wa kijeshi wa nyuklia nchini Iran

    Kukiri Grossi kuhusu kutokuwepo mpango wa kijeshi wa nyuklia nchini Iran

    Nov 23, 2022 22:52

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA akijibu swali kuhusu uwezekano wa Iran kupata bomu la nyuklia amesema: "Katika kiwango cha sasa cha uzalishaji urani iliyorutubishwa, Iran imeweza kuzalisha kiwango cha kutosha cha kuiwezesha kutengeneza zaidi ya kifaa kimoja (cha mlipuko) iwapo itataka kufanya hivyo."

  • Al Mayadeen: Silaha nyingi zilizotumiwa kwenye machafuko Iran zimeingizwa kupitia Kurdistan ya Iraq

    Al Mayadeen: Silaha nyingi zilizotumiwa kwenye machafuko Iran zimeingizwa kupitia Kurdistan ya Iraq

    Nov 22, 2022 08:10

    Televisheni ya Al Mayadeen imeeleza katika ripoti maalumu kuwa, silaha nyingi zilizoingizwa kimagendo nchini Iran kwa ajili ya kutumiika katika vitendo vya kigaidi, kuzusha machafuko na kuvuruga amani zimepitishwa kwa kutumia mpaka wa eneo la Kurdistan ya Iraq.

  • Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

    Bunge la EU launga mkono ghasia nchini Iran, lavunja uhusiano na Tehran

    Nov 22, 2022 04:42

    Katika hatua isiyo ya kidiplomasia na inayolenga kushajiisha zaidi fujo na ghasia hapa nchini Iran, Bunge la Umoja wa Ulaya limetangaza kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasambaratishwa

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Shari bila shaka itasambaratishwa

    Nov 19, 2022 08:56

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lengo kuu la wachochezi wa machafuko ya hivi karibuni ni kuliingiza taifa la Iran katika medani na kuongeza kuwa: "Mchafuko hayo bila shaka yatakomeshwa na taifa kuendelea kusonga mbele kwa nguvu zaidi na ari mpya katika uwanja wa maendeleo ya nchi."

  • Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

    Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

    Nov 19, 2022 08:22

    Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS