Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu

    Foreign Policy: Sera ya mashinikizo ya juu ya kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu

    Sep 30, 2021 22:56

    Jarida la Foreign Policy la nchini Marekani limeeleza katika ripoti yake kwamba, sera za mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran imeshindwa kikamilifu; na Tehran haina hofu yoyote kuhusiana na Marekani.

  • Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi

    Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi

    Sep 30, 2021 02:58

    Jarida la kila wiki la Newsweek la nchini Marekani limeandika kuwa, uanachama wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utazidi kuibana Magharibi katika kukabiliana na mradi wa nyuklia wa Iran.

  • Iran: Hakuna dola lolote linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu

    Iran: Hakuna dola lolote linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu

    Sep 30, 2021 00:17

    Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran amesisitiza kuwa, hakuna dola lolote duniani linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kuangamiza uwezo wa kinyuklia wa Iran

    Ehud Olmert: Israel haina ubavu wa kuangamiza uwezo wa kinyuklia wa Iran

    Sep 27, 2021 22:55

    Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo haramu hauna uwezo wa kuiua teknolojia ya nyuklia ya Iran.

  • Taliban yasisitiza nia yake ya kustawisha uhusiano na Iran na Russia

    Taliban yasisitiza nia yake ya kustawisha uhusiano na Iran na Russia

    Sep 25, 2021 03:50

    Msemaji wa kundi la Taliban ametaka kustawishwa uhusiano wa pande mbili kati ya kundi hilo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.

  • Meli ya pili ya mafuta kutoka Iran kwa ajili ya Lebanon yatia nanga Baniyas

    Meli ya pili ya mafuta kutoka Iran kwa ajili ya Lebanon yatia nanga Baniyas

    Sep 24, 2021 04:13

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa meli kubwa ya pili ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetia nanga katika bandari ya Baniyas nchini Syria.

  • Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia

    Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia

    Sep 23, 2021 22:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.

  • Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon

    Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon

    Sep 22, 2021 04:02

    Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa msafara mwingine wa malori yenye shehena ya mafufa kutoka Iran umewasili Lebanon baada ya kuvuka mpaka wa Syria.

  • Eslami: Marekani inapasa kuondoa vikwazo vyote kivitendo dhidi ya Iran

    Eslami: Marekani inapasa kuondoa vikwazo vyote kivitendo dhidi ya Iran

    Sep 20, 2021 22:12

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa wakati umefka kwa Marekani kurekebisha siasa zake ghalati, na katika hatua ya kwanza iondoe kivitendo vikwazo vyote, kwa njia athirifu na kutoa hakikisho.

  • Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon

    Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon

    Sep 20, 2021 06:52

    Kituo cha ufuatiliaji wa safari za meli za mafuta kimeripoti kuwa, meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS