-
Madai ya uongo ya Marekani kuhusu kuondolewa dawa na vifaa vya matibabu katika vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran
Dec 10, 2020 13:00Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mwano Mei 2018, nchi hiyo imeiwekea Iran vikwazo vikali zaidi chini ya siasa za 'mashinikizo ya juu kabisa', na tokea wakati huo imekuwa ikiongeza vikwazo hivyo visivyo vya kibinadamu bila kujali kuenea nchini na duniani virusi vya maradhi hatari ya corona.
-
Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia
Dec 09, 2020 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Damascus ni mkubwa na wa kistratejia na kueleza kuwa: Syria ina uhusiano mkubwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
-
Katibu Mkuu wa Arab League atoa bwabwaja nyingine dhidi ya Iran na Uturuki
Dec 08, 2020 03:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amepayuka tena dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, katika hotuba yake mbele ya wanachuo mjini Cairo Misri.
-
Balozi wa Iran UN: Ukatili wa Marekani katika zama za COVID-19 utakumbukwa katika historia
Dec 07, 2020 03:36Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Iran inafahamu vyema namna ambavyo vikwazo vya Marekani vinaathiri uwezo wa nchi katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Indhari ya Zarif; kivuli kizito cha sheria ya bunge la Iran kwa pande shiriki katika mapatano ya JCPOA
Dec 05, 2020 06:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sheria ya hatua za kistratejia kwa ajili ya kuondoa vikwazo itatekelezwa iwapo pande shiriki katika mapatano ya JCPOA hazitatekeleza majukumu yao.
-
Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo
Dec 05, 2020 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Jawad Zarif amemjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas ambaye ametaka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yajadiliwe upya.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vikwazo visivyo vya kibinadamu vya Marekani dhidi ya Iran
Dec 05, 2020 00:50Baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran mashuhuri kama JCPOA mnamo Mei 2018, Marekani ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kupitia siasa zake za kutoa mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Tehran, na kuendelea kuzidisha taratibu vikwazo hivyo vilivyotajwa kuwa vya kulemaza, hata katika kipindi kigumu zaidi cha kuenea virusi vya corona duniani.
-
Madai ya kukaririwa ya Ulaya kuunga mkono JCPOA; nara tupu zisizofungamana na vitendo
Dec 03, 2020 20:45Licha ya kuwa baada ya kujitoa marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama JCPOA, nchi za Ulaya zimekuwa na utendaji hasi na dhaifu katika kulinda na kutekeleza ahadi zao kuhusu mapatano hayo, lakini zingali zinadai kwamba zinaendelea kuyalinda.
-
Rouhani atuma ujumbe UN; aitolea wito jamii ya kimataifa kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Dec 01, 2020 23:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Iran ni nchi pekee iliyo na benki ya macho katika eneo la Asia Magharibi
Dec 01, 2020 04:43Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahidi Beheshti cha hapa nchini amesema kuwa benki pekee inayoshughulikia matatizo ya macho katika eneo la Asia magharibi ni ya Iran.