-
Kukiri Marekani kuishiwa na vikwazo vya kuipigisha magoti Iran
Oct 27, 2020 02:34Baada ya rais wa Marekani kutangaza kuitoa nchi yake katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 na kuirejeshea Iran vikwazo vyote ilivyokuwa imeondolewa baada ya mapatano hayo, Donald Trump na serikali yake walidhani kwa njia hiyo wataweza kutimiza kiurahisi ndoto yao ya kupigisha magoti Tehran na kuilazimisha ikubali mapatano yanayotakiwa na Washington. Hata hivyo ndoto hiyo kamwe haikuaguka.
-
Shamkhani: Kauli za Macron dhidi ya Uislamu zinaonyesha ni mwanagenzi wa siasa
Oct 26, 2020 08:06Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu yanayotolewa na Rais Emmanuel Macron yamedhihirisha uanagenzi wa kisiasa alionao kiongozi huyo wa Ufaransa.
-
Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu yalaani Ufaransa kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW
Oct 26, 2020 04:07Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu Ali Akbar Velayati ametoa taarifa na kualaani wakuu wa Ufaransa ambao wamemvunjia heshima Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad SAW.
-
Umoja wa Redio na TV za Kiislamu: Tutaendelea kuwa sauti ya wanaodhulumiwa duniani
Oct 24, 2020 11:17Umoja wa Redio na Televisheni za Kiislamu umelaani hatua isiyo ya kisheria iliyochukuliwa na Marekani ya kuuwekea vikwazo umoja huo.
-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Iraq kwa ugaidi
Oct 24, 2020 04:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuwekea vikwazo Balozi wa Marekani nchini Iraq, Matthew Tueller kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Balozi wa Iran: Hatua za upande mmoja za Marekani zinahatarisha utawala wa sheria
Oct 23, 2020 03:56Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema uchukuaji maamuzi ya upande mmoja wa Marekani unahatarisha utawala wa sheria katika ngazi ya kimatiaifa.
-
Taathira za vikwazo vya Marekani kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)
Oct 22, 2020 09:22Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema kuwa, Mfuko wa Fedha Kimataifa (IMF) unapaswa kujibu ombi la Iran la kupewa mkopo kutoka kwenye bajeti ya dharura ya IMF kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya corona, na usikubali kuathiiwa na lobi za kisiasa na mashinikizo ya Marekani.
-
Ndege za kivita za Iran zashiriki kwa ufanisi mkubwa katika luteka
Oct 22, 2020 08:56Kamanda wa Kikosi cha la Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndege za jeshi hilo zinashiriki kwa ufanisi mkubwa katika maneva na luteka ya kijeshi ya pamoja na Walinzi wa Anga ya Velayat-99.
-
Trump arudia ndoto zake za kuzungumza na Iran
Oct 22, 2020 08:55Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine amerudia ndoto yake ya kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo atashinda urais.
-
Zaidi ya wagonjwa wapya 5,000 wa corona wagunduliwa nchini Iran
Oct 22, 2020 08:54Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 5,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 304 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.