Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel

    Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel

    Jul 01, 2020 21:40

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua athirifu za kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel, hususan mpango wa utawala huo ghasibu wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina.

  • "Saudia kuiunga mkono US kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni mzaha"

    Jun 30, 2020 07:43

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kitendo cha Saudi Arabia cha kuiunga mkono Marekani katika jitihada zake za kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran ni mzaha mchungu.

  • Iran yakaribia kuzalisha chanjo ya corona, majaribio kwa wanyama yafanikiwa

    Iran yakaribia kuzalisha chanjo ya corona, majaribio kwa wanyama yafanikiwa

    Jun 30, 2020 06:41

    Waziri wa Afya wa Iran ametangaza leo Jumanne kuwa wanasayansi wa humu nchini wapo mbioni kuanza kuzalisha chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hatua ambayo imeongeza matumaini ya kudhibitiwa kikamilifu janga la corona duniani.

  • Azimio la kurefushwa vikwazo vya silaha halitaathiri nguvu za kujihami za Iran

    Azimio la kurefushwa vikwazo vya silaha halitaathiri nguvu za kujihami za Iran

    Jun 28, 2020 23:27

    Meja Jenerali Hossein Salami Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikwazo vya silaha vya maadui havina taathira yoyote katika uuwezo wa kujihami wa Iran.

  • Udharura wa mabadiliko katika Idara ya Mahakama kwa mtazamo wa  Kiongozi Muadhamu

    Udharura wa mabadiliko katika Idara ya Mahakama kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Jun 28, 2020 05:19

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi alizungumza moja kwa moja kwa njia ya video na mkuu na maafisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran ambapo alimuenzi shahidi madhulumu Ayatullah Baheshti, Shahidi Qodossi, Shahidi Ladjevardi na mashahidi wengine wa Idara ya Mahakama ya Iran.

  • Vikwazo vipya vya Marekani; kujitaabisha kusio na maana kwa lengo la kuidhoofisha Iran

    Vikwazo vipya vya Marekani; kujitaabisha kusio na maana kwa lengo la kuidhoofisha Iran

    Jun 27, 2020 02:28

    Serikali ya Trump imekuwa ikifanya kila njia kupitia kampeni yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran ili kuilazimisha Jamhuri ya Kiislamu isalimu amri na kutekeleza matakwa yake haramu na yasiyo ya kisheria; na baada ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 ilianza kuiwekea Iran vikwazo vikali kabisa; na licha ya mwenendo huo kutokuwa na tija, lakini Washington ingali inashupalia kuendeleza vikwazo.

  • Qatar: Uhurusiano wetu na Iran utaendelea kuwa mzuri licha ya mashinikizo ya Marekani

    Qatar: Uhurusiano wetu na Iran utaendelea kuwa mzuri licha ya mashinikizo ya Marekani

    Jun 26, 2020 20:02

    Balozi wa Qatar mjini Washington Marekani amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jambo la dharura na ameituhumu Saudi Arabia na waitifaki wake kwa siasa chafu na kufanya mambo yawe mazito.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Jun 26, 2020 09:01

    Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.

  • Zaidi ya watu laki moja na 75,000 wameshapata afueni baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran

    Zaidi ya watu laki moja na 75,000 wameshapata afueni baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran

    Jun 25, 2020 07:16

    Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa zaidi ya watu laki moja na 75 elfu wameshapata afueni baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19 hapa nchini na wameruhusiwa kurejea nyumbani.

  • Rouhani: Iran itasimama kidete zaidi dhidi ya ubeberu wa Marekani

    Rouhani: Iran itasimama kidete zaidi dhidi ya ubeberu wa Marekani

    Jun 25, 2020 03:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litasimama kidete zaidi kukabiliana na sera za kibeberu za Marekani hata kuliko huko nyuma.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS