-
Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada
Mar 26, 2020 22:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.
-
Rouhani atangaza mikakati mipya ya kukabili corona Iran, waliopona ni zaidi ya 10,000
Mar 26, 2020 07:35Rais Hassan Rouhani wa Iran ametangaza mipango na mikakati mipya ya kudhibiti maambukizi ya kirusi cha corona hapa nchini ndani ya wiki mbili zijazo.
-
Mazungumzo ya Iran na Russia kuhusu corona na vikwazo vya Marekani
Mar 25, 2020 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov kuhusu janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Mazungumzo ya Iran na Russia kuhusu corona na vikwazo vya Marekani
Mar 25, 2020 02:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo na mwenzake wa Russia Sergei Lavrov kuhusu janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran
Mar 25, 2020 02:31Baada ya serikai ya Trump huko Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Iran vikwazo vya kila namna ambavyo Trump anajingamba kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kuwekewa vikwazo vikubwa, vikali na vingi kama alivyoiwekea Iran.
-
Watu karibu 9,000 walioambukizwa corona wapata nafuu nchini Iran
Mar 24, 2020 10:26Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu imetangaza kuwa: Hadi sasa watu 8,913 waliokuwa wameambukizwa kirusi cha corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Mgogoro wa corona: Marekani ni kikwazo cha mapambano dhidi ya COVID-19
Mar 24, 2020 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza jitihada za kimataifa zinazofanyika kwa ajili ya kufutwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran na kusema: Marekani inakwamisha mapambano ya kimataifa dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 (corona).
-
EU yaitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran kupambana na Covid-19
Mar 23, 2020 22:40Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi hiki cha kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Guterres ataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 21, 2020 22:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuna haja ya kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, vikwazo hivyo vimekuwa kizingiti katika jitihada za Jamhuri ya Kiislamu za kupambana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na kirusi cha Corona.
-
Udiplomasia wa afya, wananchi wa Iran wahanga wa corona na vikwazo vya Marekani
Mar 21, 2020 03:59Sambamba na mapambano yanayoendelea kuzaa matunda ya Iran dhidi ya tishio la dunia nzima la virusi vya corona, Tehran imeendeleza "udiplomasia wa afya" kwa shabaha ya kuwazindua walimwengu kuhusu taathira mbaya za vikwazo vya kidhalimu vya Marekani kwa afya na siha ya wananchi na vilevile katika kukwamisha mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya corona.