-
Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani
May 16, 2019 22:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia yanayofahamika kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Sisitizo la Rais Putin la kuwa wazi kusiko na mithili miradi ya nyuklia ya Iran
May 16, 2019 21:59Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 huko Vienna Austria kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1.
-
Seneta Tim Kaine wa Marekani: Ni upumbavu Marekani kuingia vitani na Iran
May 16, 2019 01:53Seneta Tim Kaine wa jimbo la Virginia nchini Marekani amesema kuwa juhudi za kuisukuma Marekani iingie katika vita na Iran ni za upumbavu na hatari sana.
-
Putin: Leo hii Iran ndiyo yenye miradi iliyo wazi zaidi ya nyuklia duniani
May 15, 2019 22:28Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, tangu yalipofikiwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwaka 2015 hadi hivi sasa, Iran imekuwa ndiyo nchi yenye miradi iliyo wazi zaidi ya nyuklia duniani.
-
Safari ya Pompeo Russia: Jitihada zilizofeli za kupunguza hitilafu baina ya Washington na Moscow
May 15, 2019 22:04Uhusiano wa Marekani na Russia katika zama za baada ya vita baridi umekumbwa na pandashuka nyingi sana. Pamoja na hayo mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, na baada ya hapo, yaani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, uhusiano wa Moscow na Washington umechukua mkondo wa kuzorota na hali imekuwa mbaya zaidi baada ya Marekani kuiwekea Russia vikwazo.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani
May 14, 2019 23:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya na sisitizo la kutekelezwa makubaliano ya JCPOA
May 14, 2019 21:47Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) daima zimekuwa zikiunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kutekelezwa kwake.
-
Jeshi la Majini la Iran: Maadui hawawezi kuthubutu kuishambulia Iran
May 14, 2019 07:16Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana ubavu wala uthubutu wa kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi na kiulinzi wa taifa hili.
-
Zarif: Marekani inaongeza hali ya wasiwasi dhidi ya Iran bila ya sababu yoyote
May 14, 2019 06:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliambia shirika la habari la INI la nchini India kwamba, Tehran daima imekuwa ikisimama kidete kujilinda na shari za maadui na kwamba Marekani inaendelea kuleta hali ya wasiwasi dhidi ya Iran bila ya sababu yoyote.
-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu ni ya wafuasi wa madhehebu na dini zote za Iran
May 14, 2019 03:28Rais Hassan Rouhani amesema Mapinduzi ya Kiislamu sio ya wafuasi wa dini au madhehebu moja tu, bali ni ya watu wa dini na madhehebu zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.