-
Iravani alaani mauaji ya wanadiplomasia 4 wa Iran nchini Lebanon
Mar 11, 2026 07:48Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja mauaji ya kigaidi ya wanadiplomasia wanne wa Jamhuri ya Kiislamu katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kama 'jinai ya kihaini'.
-
Msemaji wa Majeshi ya Iran: US inawatumia watu wa Asia Magharibi kama ngao
Mar 10, 2026 17:08Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran, Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi amesema baadhi ya makamanda na wanajesh wa Marekani wanawatumia raia wa eneo la Asia Magharibi kama ngao za binadamu vitani.
-
Msemaji wa IRGC: Majibu ya Iran yamemtia kiwewe Donald Trump
Mar 10, 2026 07:44Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amejibu upuuzi na uongo wa Rais Donald Trump wa Marekani akisema: "Rais muongo wa Marekani ametoa madai ya kumaliza nguvu ya vikosi vya jeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ili kujaribu kukwepa mashinikizo ya vita na kukomesha hali ya kukata tamaa wanajeshi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi."
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 12:32Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makundi ya Muqawama yapongeza kuchaguliwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 09, 2026 11:19Harakati za Muqawama zimetoa taarifa zikilipongeza taifa la Iran kwa mnasaba wa kuchaguliwa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kama Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Araghchi: Trump amekiri kutenda jinai kwa kutishia kuwaua Wairani
Mar 09, 2026 10:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vitisho vipya vilivyotolewa na Rais Donald Trump vya kuwashambulia na kuwaua wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ni kukiri wazi wazi kwa kiongozi huyo wa Marekani juu ya kufanya jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu.
-
Majasusi wa US: Haiyumkiniki kubadilisha mfumo wa uongozi Iran
Mar 08, 2026 07:43Baraza la Ujasusi la Marekani limesema katika tathmini yake 'ya siri' kwamba, ni muhali kubadilisha mfumo uliokita mizizi wa kisiasa na kiusalama nchini Iran, hata kwa kutumia mashambulizi makali ya kijeshi yanayoendelea ya Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: UN inabeba dhima ya kisheria na kimaadili ya vita haramu vya US, Israel
Mar 07, 2026 13:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amejibu taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ambaye bila kulaani uvamizi na mashambulizi ya kichokozi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ameeleza wasiwasi wake juu ya vita hivyo kwa uchumi wa dunia.
-
Maulamaa wa Kishia na Kisunni, wa ndani na nje ya Iran watoa fatua ya Jihadi dhidi ya Marekani na utawala wa kizayuni
Mar 07, 2026 12:07Maraajii Taqlidi wa madhehebu ya Shia, ndani na nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, pamoja na Maulamaa wakubwa wa Kisunni wa hapa nchini na katika mataifa mengine ya Ulimwengu wa Kiislamu wametoa fatua ya Jihadi dhidi ya Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel kufuatia uchokozi wa kidhalimu walioanzisha dhidi ya ardhi ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran imesimama kidete katika kujihami, kulinda heshima ya taifa
Mar 06, 2026 13:58Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasita kuendelea kujihami na kujilinda mkabala wa mashambulizi ya kichokozi ya maadui wa taifa hili.