-
Picha za satalaiti zaonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi za kijeshi za Israel kutokana na mashambulizi ya Iran
May 22, 2026 14:53Picha mpya za satalaiti zilizochambuliwa zimefichua uharibifu na hasara kubwa iliyotokea katika vituo vingi vya kijeshi vya Israel kufuatia mashambulizi na operesheni za kujihami za Iran na harakati ya Lebanon Hizbullah na hivyo kuzusha maswali kuhusu ukubwa wa uharibifu ambao Tel Aviv inauficha mbele ya umma.
-
Pezeshkian: Serikali imejitolea kikamilifu kuboresha uwezo wa Jeshi la Iran
May 22, 2026 06:55Rais Masoud Pezeshkian amesema serikali yake itatumia “nguvu na rasilimali zote zilizopo” kuimarisha majeshi ya ulinzi huku akisifu majibu ya kijeshi ya Iran kuwa “makini, madhubuti na yanayozuia uchokozi” kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na tawala za Marekani na Israel.
-
Iran: UNSC Iivunje ukimya kuhusu vitisho vya Marekani na uhalifu wa kivita
May 21, 2026 13:05Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama livunje ukimya wake kuhusu vitisho vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na ukiukaji wa kimfumo wa sheria za kimataifa za kibinadamu uliofanyika wakati wa vita haramu vya hivi karibuni.
-
'Hatutasalimu amri kamwe': Pezeshkian aapa kuendeleza mapambano huku Trump akizidi kupiga ngoma za vita
May 19, 2026 05:51Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameapa kutosalimu amri kamwe mbele ya dola lolote au kutoa kafara heshima ya taifa kwa ajili ya faraja.
-
Uchunguzi wa Washington Post kuhusu mashambulio ya Iran kwenye vituo 228 vya kijeshi vya Marekani
May 19, 2026 05:33Mwandishi wa habari mpelelezi wa gazeti la Washington Post amechapishwa maelezo kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye taasisi na zana 228 za kijeshi za Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
-
Rais wa Iran: Marekani, Israel zinapandikiza chuki baina ya Waislamu
May 18, 2026 12:11Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba tawala za Marekani na Israel zinaendeleza miradi ya kuzusha migawanyiko na kueneza hali ya kutoaminiana ili kuyagonganisha mataifa ya Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azungumza na wenzake huku mvutano na Marekani ukitokota
May 18, 2026 12:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amefanya mazungumzo ya simu kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa Ufaransa, Qatar, Uturuki, na Korea Kusini, siku ya Jumapili, ili kutathmini mahusiano ya pande mbili, matukio ya kieneo na mchakato wa kidiplomasia unaoendelea.
-
FIFA yafanya mazungumzo “chanya” na Iran Kabla ya Kombe la Dunia 2026
May 18, 2026 04:37Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema mazungumzo ya hivi karibuni na maafisa wa soka wa Iran yalikuwa chanya na yenye kujenga, huku maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia la 2026 yakiendelea.
-
Spika Qalibaf: Muqawama wa kihistoria wa Iran unaongeza kasi ya mabadiliko ya kimataifa ambayo hayajawahi kutokea
May 17, 2026 11:25Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Mohammad Baqir Qalibaf amesema kuwa muqawama wa kishujaa wa taifa la Iran kwa muda wa siku 70 umekuwa msukumo katika kuharakisha mageuzi ambayo hayajaonekana katika karne moja, na hivyo kuashiria mapambazuko ya mfumo mpya wa kambi kadhaa.
-
Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
May 17, 2026 11:10Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu: Uvumilivu haupo siku zote/ Azitahadharisha nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi