-
Iran na Japan zafungua ukurasa mpya katika ushirikiano wa kisayansi
Oct 02, 2025 04:25Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran Hossein Simaee amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Iran Tamaki Tsukada kabla ya kufanya ziara huko Japan kwa lengo la kushiriki katika kikao cha 22 cha Kongamano la Sayansi na Teknolojia katika Jamii (STS).
-
Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN
Oct 01, 2025 23:09Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China
Oct 01, 2025 09:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na Beijing.
-
Araghchi aiambia CNN: Kurutibisha urani ni haki ya msingi ya Iran
Oct 01, 2025 07:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Sep 30, 2025 23:18Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
-
Pezeshkian: Utaratibu wa Snapback ni jaribio la kuhalalisha hatua haramu za Magharibi
Sep 30, 2025 08:32Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja utaratibu wa Snapback kama jaribio la kuhalalisha vitendo haramu vya nchi za Magharibi.
-
Iran yalaani urejeshaji vikwazo vya UN vilivyokwisha muda wake uliofanywa na Marekani na Ulaya
Sep 30, 2025 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameikosoa Marekani na mataifa matatu ya Ulaya kwa kujaribu kutumia utaratibu wa 'snapback' wa makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 ili kurejesha tena vikwazo vilivyokwisha muda wake vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian apuuzilia mbali vikwazo; asema ni ndoto kuwapigisha magoti Wairani
Sep 29, 2025 23:01Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanafanya kila wawezalo kuiwekea vikwazo Iran kwa sababu nchi hii iimekataa kuwapigia magoti na haitakubali kudhalilishwa.
-
Iran: Sekretarieti ya UN imevuka mpaka wa mamlaka yake kutangaza urejeshwaji wa vikwazo
Sep 29, 2025 08:34Iran imepinga vikali taarifa ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama kuhusu kutumika tena maazimio yaliyohitimisha muda wake yanayoilenga Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo.
-
Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu wapiga hatua nyingine nchini Iran
Sep 29, 2025 03:51Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu umepiga hatua nyingine nchini Iran kutoka katika bidhaa bunifu za afya hadi kuboresha usahihi wa vifaa vya uchunguzi.