Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Haaretz: Netanyahu amepelekea Israel kushindwa katika pande zote, hususan dhidi ya Iran

    Nov 26, 2025 08:48

    "Sera za waziri mkuu Benjamin Netanyahu zimepelekea kushindwa Israel katika pande zote za kidiplomasia, kijeshi, na kimkakati, hususan dhidi ya Iran". Hayo ni kwa mujibu wa Haaretz, gazeti la Israel linalochapishwa kwa lugha ya Kiebrania.

  • Asilimia 86 ya vijiji vya Iran vimeunganishwa kwa barabara za lami

    Asilimia 86 ya vijiji vya Iran vimeunganishwa kwa barabara za lami

    Nov 26, 2025 03:44

    Wizara ya Uchukuzi ya Iran imesema kuwa karibu vijiji tisa kati ya kumi hapa nchini vimeunganishwa kwa barabara za lami; hatua inayoashiria upanuzi mkubwa wa miundombinu ya vijijini nchini Iran.

  • Marekani na nchi tatu za Ulaya zimeuaje Mkataba wa Cairo?

    Marekani na nchi tatu za Ulaya zimeuaje Mkataba wa Cairo?

    Nov 22, 2025 23:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameandika kwenye akaunti yake ya X kwamba: ""Mkataba wa Cairo" umeangamizwa na Marekani na nchi tatu za Ulaya."

  • Harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA

    Nov 22, 2025 06:50

    Hivi sasa kumejitokeza harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Troika ya Ulaya na Marekani dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya IAEA lina lengo la kufidia kushindwa Marekani na Troika ya Ulaya

    Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya IAEA lina lengo la kufidia kushindwa Marekani na Troika ya Ulaya

    Nov 20, 2025 23:33

    Mwakilishi wa kudumu na balozi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amesema kupitishwa azimio la kisiasa dhidi ya nishati ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani ni jaribio la Marekani na Umoja wa Ulaya ili kufidia kushindwa kwao katika utaratibu wa Snapback huko New York.

  • Iran: Azimio la Marekani lililopasishwa na UN kuhusu Gaza linahalalisha ukaliaji mabavu

    Iran: Azimio la Marekani lililopasishwa na UN kuhusu Gaza linahalalisha ukaliaji mabavu

    Nov 19, 2025 09:16

    Iran imekosoa azimio lililoandaliwa na Marekani na kupasishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaloweka utaratibu wa kutumwa Gaza usimamizi wa nchi ajinabi na kutahadharisha kuwa azimio hilo linadhoofisha haki za msingi za watu wa Palestina.

  • Grossi: Wakaguzi wa wakala wa IAEA wamerejea Iran

    Grossi: Wakaguzi wa wakala wa IAEA wamerejea Iran

    Nov 19, 2025 08:35

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema katika kikao cha robo mwaka cha Bodi ya Magavana ya wakala huo kwamba: "Wakaguzi wa IAEA wamerejea Iran na wamefanya ukaguzi katika vituo ambavyo havikuathiriwa na mashambulizi ya Juni, lakini ushirikishwaji zaidi unahitajika ili kurejesha ukaguzi kamili."

  • Rais Pezeshkian: Iran inalenga kuimarisha uhusiano na Oman

    Rais Pezeshkian: Iran inalenga kuimarisha uhusiano na Oman

    Nov 19, 2025 03:29

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu uhusiano imara kati ya Iran na Oman, na kueleza kuwa Tehran ina imani kwamba uhusiano wa pande mbili utaendelea kukua kwa "nguvu na uthabiti.

  • Iran yapendekeza mfumo wa malipo wa kidijitali katika Jumuiya ya Shanghai

    Iran yapendekeza mfumo wa malipo wa kidijitali katika Jumuiya ya Shanghai

    Nov 18, 2025 22:54

    Mohammad Reza Aref Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amependekeza kuanzisha mfumo wa pamoja wa malipo ya kidijitali ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi 10 wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).

  • Vipi mauzo ya Iran kwa Afrika yamevunja rekodi katika nusu ya kwanza ya mwaka 1404 Hijria Shamsia?

    Vipi mauzo ya Iran kwa Afrika yamevunja rekodi katika nusu ya kwanza ya mwaka 1404 Hijria Shamsia?

    Nov 18, 2025 08:37

    Mauzo ya bidhaa za Iran barani Afrika yaliongezeka maradufu katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu (1404 Hijria Shamsia), na kufikia dola milioni 675.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS