Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Tehran yakadhibisha madai ya nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vya Iran na kisima cha gesi cha Arash

    Tehran yakadhibisha madai ya nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vya Iran na kisima cha gesi cha Arash

    Sep 02, 2025 23:05

    Iran imesisitiza mamlaka iliyonayo kwa visiwa vitatu vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi, haki yake kwa kisima cha gesi cha Arash na kuhusu mpango wake wa nyuklia wenye malengo ya amani katika kujibu madai ya uongo katika taarifa ya hivi karibuni ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC).

  • Barua ya pamoja ya Iran, Russia na China yalitaka Baraza la Usalama lipinge kutekelezwa utaratibu wa Snapback

    Barua ya pamoja ya Iran, Russia na China yalitaka Baraza la Usalama lipinge kutekelezwa utaratibu wa Snapback

    Sep 02, 2025 07:54

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, China na Russia wameandika barua ya pamoja wakipinga hatua ya nchi tatu za Ulaya ya kuanzisha "utaratibu wa papo kwa hapo au Snapaback " kwa ajili ya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran.

  • Pendekezo la Iran kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai; hatua ya kuelekea kwenye mfumo mpya wa dunia

    Pendekezo la Iran kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai; hatua ya kuelekea kwenye mfumo mpya wa dunia

    Sep 02, 2025 07:26

    Katika hotuba yake katika kikao cha Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliwasilisha utatuzi uliopendekezwa na Iran kwa ajili ya kupanua ushirikiano kati ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa lengo la kukabiliana na misimamo ya upande mmoja ya Marekani na Magharibi.

  • Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Sep 02, 2025 03:34

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitiza umuhimu wa kutekelezwa Mkataba Kamili wa Ushirikiano wa Kistratejia kati ya nchi mbili hizo.

  • Rais wa Iran azitaka US,EU kukomesha makabiliano, zirejee kwenye diplomasia

    Rais wa Iran azitaka US,EU kukomesha makabiliano, zirejee kwenye diplomasia

    Sep 02, 2025 03:12

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Marekani na Ulaya zinapasa kuacha mienendo yao kwa msingi wa makabiliano na vitisho, na badala yake zifungamane na diplomasia ili kupata suluhisho lenye "mlingano na haki" kwa suala la nyuklia la Tehran.

  • Rais Pezeshkian ataka kuimarishwa amani na ushirikiano wa kiuchumi katika mkutano wa SCO

    Rais Pezeshkian ataka kuimarishwa amani na ushirikiano wa kiuchumi katika mkutano wa SCO

    Sep 01, 2025 04:31

    Rais Masoud Pezeshkian ametoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) kuchukua hatua madhubuti na za uwazi ili kuimarisha amani na ushirikiano wa kiuchumi duniani.

  • Pezeshkian: Mkutano wa Shanghai unatoa fursa ya kukabiliana na hatua za upande mmoja za Marekani na Ulaya

    Pezeshkian: Mkutano wa Shanghai unatoa fursa ya kukabiliana na hatua za upande mmoja za Marekani na Ulaya

    Aug 31, 2025 04:02

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa mkutano ujao wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unatoa fursa ya kukabiliana na hatua za upande mmoja za Marekani na Ulaya katika masuala ya kimataifa.

  • Qalibaf alaani chokochoko za Marekani dhidi ya Venezuela

    Qalibaf alaani chokochoko za Marekani dhidi ya Venezuela

    Aug 31, 2025 04:00

    Mohammad Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amelaani chokochoko za Marekani katika eneo la Caribbean dhidi ya Venezuela.

  • Iravani: Iran haitafanya mazungumzo kwa vitisho au kwa kushurutishwa

    Iravani: Iran haitafanya mazungumzo kwa vitisho au kwa kushurutishwa

    Aug 30, 2025 09:33

    Amir-Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, ameitaja hatua ya nchi tatu za Ulaya yaani Ufaransa, Ujerumani na Uingereza ya kuanzisha kuanzisha mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) hatua 'isiyo ya kisheria', na kuongeza kuwa hatua hiyo inapuuza Utaratibu wa Utatuzi wa Mizozo (DRM) wa makubaliano9 ya nyuklia ya JCPOA.

  • Sababu za Iran kuitambua hatua ya Troika ya Ulaya ya kutekeleza snapback kuwa kinyume cha sheria

    Sababu za Iran kuitambua hatua ya Troika ya Ulaya ya kutekeleza snapback kuwa kinyume cha sheria

    Aug 30, 2025 07:16

    Kikao cha faragha cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushughulikia uzinduzi wa mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) wa Troika ya Ulaya kilifanyika jana Ijumaa, Agosti 29.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS