-
Madai ya Bolton kuhusu juhudi zinazofanywa na Trump kufikia mapatano na Iran
Nov 19, 2020 08:34Mashauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani, bila ya kuashiria siasa za uadui wa nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amedai kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo anataka kufanya mazungumzo na Iran.
-
Wademokrat wa Seneti ya Marekani wapinga madai ya Trump dhidi ya Iran
Oct 24, 2020 00:50Mwenyekiti wa Wademokrat katika Seneti ya Marekani na vilevile Spika wa Kongresi ya nchi hiyo wamepinga madai yaliyotolewa na Mkurugenzi wa Tasisi ya Usalama wa Taifa kwamba Iran inaingilia uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Iran: Leo ni siku muhimu kwa walimwengu baada ya kufikia tamati vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran
Oct 18, 2020 04:50Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa siku ya leo ya tarehe 18 Oktoba ya kufikia tamati muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya taifa hili na kueleza kwamba, hii ni siku muhimu kwa jamii ya kimataifa.
-
Amir-Abdollahian: Kisasi cha damu ya kamanda Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio la Ainul-Asad
Oct 17, 2020 01:01Katibu wa Kamati ya Palestina ya Mkutano wa Kimataifa ya Mujahidina walio kwenye upweke amesema, Marekani inajua kwamba kisasi cha damu ya Kamanda Qassem Suleimani kitakuwa kikubwa zaidi kuliko shambulio ililofanya Iran dhidi ya kambi ya Ainul-Asad.
-
Iran kuanza tena kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha ifikapo Oktoba 18
Oct 17, 2020 01:00Msemaji wa ujumbe wa uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, kuanzia Jumapili ya kesho ya tarehe 18 Oktoba, sambamba na kumalizika muhula wa vizuizi ilivyowekewa, Iran itaanza kufanya miamala ya kuuza na kununua silaha.
-
Marekani yavunjwa moyo baada ya nchi za Ulaya kuipa kisogo katika vikwazo dhidi ya Iran
Sep 22, 2020 04:20Mjumbe Maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran amesema kuwa amepoteza matumaini ya kushirikiana na nchi za Ulaya kukabiliana na Iran.
-
Pompeo adai Marekani itazuia biashara ya silaha kati ya China na Iran
Sep 01, 2020 22:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kuwa, nchi yake itazuia miamala ya mauzo ya silaha kati ya Iran na China.
-
Shamkhani: Marekani imeshindwa katika sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 06:28Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria kujiuzulu mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kusema: "Stratijia ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuangusha mfumo wa Kiislamu sasa imebadilika na kuwa stratijia ya kuizuia Iran itajirike."
-
Wendy Sherman: Iran imechagua stratejia ya muqawama
Aug 06, 2020 03:37Afisa wa zamani wa Marekani amezitaja siasa za White House dhidi ya Iran kuwa zisizo na natijana na kusisitiza kuwa Iran imechagua stratejia ya muqawama.
-
UN yasisitiza kuchungwa usalama wa ndege za abiria kufuatia chokochoko za ndege za kivita za Marekani
Jul 25, 2020 03:45Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, usalama wa safari za ndege za abiria inapasa uheshimiwe na nchi zote.