Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran

    Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran

    Mar 09, 2020 04:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Dunia haiwezi tena kubakia kimya wakati 'ugaidi wa kiuchumi' wa Marekani sasa umeunganishwa na 'ugaidi wa kimatibabu' dhidi ya taifa la Iran."

  • CIA yakiri kufeli siasa za utwishaji mazungumzo kupitia mashinikizo dhidi ya Iran

    CIA yakiri kufeli siasa za utwishaji mazungumzo kupitia mashinikizo dhidi ya Iran

    Feb 15, 2020 01:16

    Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limekiri kwamba siasa za vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi dhidi ya Iran zimefeli na kwamba Tehran haipo tayari kufanya mazungumzo na Washington chini ya mashinikizo kwa mazingira yoyote yale.

  • Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Sababu za mafanikio ya Shahidi Soleimani katika mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah

    Feb 14, 2020 09:14

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amefanya mazungumzo na televisheni ya al Mayadeen akieleza mchango na nfasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunda harakati hiyo ya mapambano na mafanikio ya Kamanda Qassem Soleimani.

  • Kituo cha Utafiti cha Marekani: Tunapasa kujifunza kutokana na shambulizi la makombora la Ain Assad

    Kituo cha Utafiti cha Marekani: Tunapasa kujifunza kutokana na shambulizi la makombora la Ain Assad

    Feb 11, 2020 04:15

    Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kilichofuatilia shambulizi la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya askari wa Kimarekani ya Ain Assad nchini Iraq, kimekiri juu ya uwezo mkubwa wa makombora wa Iran katika kusababisha hasara na kulenga shabaha kwa ustadi.

  • Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran

    Sisitizo la Ufaransa la kupinga Umoja wa Ulaya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran

    Jan 30, 2020 22:52

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kupinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Mei mwaka 2018 alichukua uamuzi wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo ya kimataifa, hatua ambayo ilikwenda sambamba na kuiwekea Iran mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa.

  • Marekani na ugaidi wa kiserikali; tishio la kumuua kigaidi kamanda mpya wa kikosi cha Quds cha IRGC

    Marekani na ugaidi wa kiserikali; tishio la kumuua kigaidi kamanda mpya wa kikosi cha Quds cha IRGC

    Jan 24, 2020 23:43

    Baada ya jinai ya Marekani ya kumuua kinyume cha sheria na kiuwoga Luteni Jenerali Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq maarufu kama al Hashd al Shaabi pamoja na watu wengine wanane mnamo Januari 3 2020 katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Baghdad, sasa utawala wa Trump umetoa tishio jipya la ugaidi.

  • Afisa wa zamani wa White House: Trump ataifanya Iran ijitoe NPT

    Afisa wa zamani wa White House: Trump ataifanya Iran ijitoe NPT

    Jan 20, 2020 20:46

    Afisa mmoja wa zamani wa Ikulu ya Marekani, White House ametahadharisha kwamba, siasa mbovu na ghalati za rais wa nchi hiyo Donald Trump zinaisukuma Iran kwenye kujitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.

  • Ujerumani: Marekani imeshindwa katika makabiliano yake na Iran

    Ujerumani: Marekani imeshindwa katika makabiliano yake na Iran

    Jan 19, 2020 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa siasa za uhasama za White House dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu ya Washington dhidi ya Tehran hazina natija.

  • Esper akadhibisha madai ya Trump kuhusu sababu za mauaji ya Jenerali Soleimani, asema hayana msingi

    Esper akadhibisha madai ya Trump kuhusu sababu za mauaji ya Jenerali Soleimani, asema hayana msingi

    Jan 13, 2020 09:27

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Mark Esper, amekadhibisha madai yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba Luteni Jenerali Qassem Soleimani alikuwa akipanga mashambulizi dhidi ya balozi nne za Marekani.

  • Trump na madai ya kizandiki ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran

    Trump na madai ya kizandiki ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran

    Jan 13, 2020 04:27

    Ijapokuwa tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 Marekani siku zote imekuwa ikiamiliana kiuadui na kiuhasama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, lakini Donald Trump, rais afriti aliyeko madarakani hivi sasa nchini humo, yeye ametia fora na kufurutu mpaka, kwa uadui ambao haujawahi kushuhudiwa, anaoifanyia Iran na wananchi wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS