-
Marekani yakariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran katika Mahakama ya ICJ
Oct 08, 2018 23:05Mawakili wa Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) wamekariri tena tuhuma zisizo na msingi za nchi hiyo wakidai Iran inaunga mkono ugaidi.
-
Pigo jingine kubwa kwa Trump: Mahakama ya juu zaidi ya UN yaiamrisha Marekani iiondolee vikwazo Iran + Video
Oct 03, 2018 10:59Tehran imepata ushindi mwingine mbele ya Marekani baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutoa amri kwa Washington kusimamisha vikwazo vyake vya upande mmoja haraka iwezekanavyo dhidi ya Iran.
-
Rais Rouhani awasili New York kushiriki mkutano wa UN
Sep 24, 2018 03:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili New York nchini Marekani kwa ajili ya kuhudhuria kutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Ripota maalumu wa UN: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran si halali kisheria
Aug 21, 2018 09:58Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu na athari hasi za uchukuaji hatua za upande mmoja amesema hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.
-
London yakataa matakwa ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Iran
Aug 17, 2018 02:41Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imekataa wito wa Marekani wa kujiunga na Washington katika vikwazo vyake vipya dhidi ya Iran.
-
Hata Uingereza yapinga siasa za Trump dhidi ya Iran
Aug 15, 2018 09:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza imesisitiza kuwa London itaendelea kuheshimu ahadi zake katika mapatano ya nyuklia na Iran maarufu kwa jina la JCPOA ni imekataa ombi la Marekani la kushirikiana nayo kuiwekea vikwazo Tehran.
-
Russia yazipongeza nchi za Ulaya kwa kusimama imara kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Aug 08, 2018 10:02Maafisa waandamizi wa Russia wamesema kuwa, upinzani wa nchi za Ulaya dhidi ya vikwazo vya Marekani kwa Iran unaonesha namna nchi za bara hilo zilivyo na nia thabiti ya kukabiliana na siasa za kujinufaisha upande mmoja za Washington.
-
Wataalamu 19 wa intelejensia wa Marekani: Nyaraka za Netanyahu dhidi ya Iran, zilikuwa bandia
Aug 06, 2018 21:50Wataalamu 19 miongoni mwa shakhsia wa ngazi ya juu katika uga wa intelejensia nchini Marekani, sambamba na kuonya juu ya kutumiwa nyaraka za utawala wa Kizayuni kuihusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamesema kuwa nyaraka hizo ni za kubuni.
-
James Dobbins: Chuki ya Wairan kwa Marekani ina mzizi wa kihistoria
Aug 06, 2018 21:49James Dobbins, Afisa wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, chuki waliyonayo raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa Marekani ni ya kihistoria na inarudi kwenye uungaji mkono na misaada ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa utawala wa ukandamizaji wa Shah.
-
Wamarekani wakiri, walitungua ndege ya abiria ya Iran kwa makusudi
Jul 05, 2018 07:30Afisa wa zamani wa jeshi la Marekani amekiri kwamba jeshi la nchi hiyo liliitungua kwa makusudi ndege ya abiria ya Iran mwaka 1988 kwa shabaha ya kuichochea Iran na kuiingiza katika vita na Marekani.