Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Zarif: Wamarekani wamechoshwa na udhalimu wa viongozi wao

    Zarif: Wamarekani wamechoshwa na udhalimu wa viongozi wao

    Jun 28, 2018 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wananchi wa Marekani wamechoshwa na ufisadi, udhalimu, ukosefu wa uadilifu na kutostahiki watawala wao.

  • Mwanasiasa wa Russia: Mafanikio ya Iran katika eneo yameikasirisha mno Washington

    Mwanasiasa wa Russia: Mafanikio ya Iran katika eneo yameikasirisha mno Washington

    May 22, 2018 09:31

    Mbunge wa ngazi ya juu katika bunge la Russia (Duma) amesema kuwa, siasa za kujitegemea na nafasi chanya na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati, zimeifanya Marekani kupatwa na hasira.

  • Foreign Policy: White House inapotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    Foreign Policy: White House inapotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    Nov 23, 2017 10:56

    Jarida la Foreign Policy linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Ikulu ya Rais wa nchi hiyo, White House inafanya jitihada za kutengeneza mazingira na propaganda mpya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazofanywa na Saudi Arabia huko Yemen.

  • Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko yoyote ya Marekani

    Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko yoyote ya Marekani

    Sep 21, 2017 02:35

    Afisa wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, iwapo Markeani itakiuka mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Uteekelzaji, JCPOA, Iran iko tayari kuanza upya shughuli zake zote za nyuklia.

  • Marekani yatoa nyaraka za kuhusika kwake na mapinduzi ya Iran 1953

    Marekani yatoa nyaraka za kuhusika kwake na mapinduzi ya Iran 1953

    Jun 16, 2017 03:17

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetoa nyaraka zinazoonyesha kuwa, nchi hiyo ilihusika na njama za mapinduzi ya mwaka 1953 nchini Iran.

  • Rais wa Marekani na Waziri wa Ulinzi wa Saudia ni watu hatari zaidi duniani

    Rais wa Marekani na Waziri wa Ulinzi wa Saudia ni watu hatari zaidi duniani

    May 15, 2017 03:21

    Gazeti la The Independent linalochapishwa Uingereza limemuelezea Rais wa Marekani na Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia kuwa ni watu hatari zaidi duniani.

  • Alaeddin Boroujerdi: Kushindwa magaidi katika Mashariki ya Kati ndio sababu ya Marekani kuitishia Iran

    Alaeddin Boroujerdi: Kushindwa magaidi katika Mashariki ya Kati ndio sababu ya Marekani kuitishia Iran

    Feb 05, 2017 00:58

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nafasi athirifu ya Iran katika vita dhidi ya ugaidi katika nchi za Iraq na Syria ndio sababu kuu ya ghadhabu za Marekani na vitisho vyake vipya dhidi ya taifa hili.

  • Iran yawasilisha nyaraka za mashtaka dhidi ya Marekani Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Iran yawasilisha nyaraka za mashtaka dhidi ya Marekani Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu

    Feb 04, 2017 13:28

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepiga hatua nyingine muhimu kwa ajili ya kurejesha fedha zake zinazozuiliwa huko Marekani kwa kuwasilisha nyaraka kamili za mashtaka dhidi ya serikali ya Washington katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), huko The Hague.

  • Qassemi: Madai ya Marekani dhidi ya Iran si mapya na hayana msingi wowote

    Qassemi: Madai ya Marekani dhidi ya Iran si mapya na hayana msingi wowote

    Feb 03, 2017 00:08

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai ya mshauri wa usalama wa taifa wa Rais wa Marekani kwamba, majaribio ya makombora ya Iran yanakinzana na azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hayana msingi, ni ya kukaririwa na ya kichochezi.

  • Marekani yarefusha vikwazo vya miaka kumi dhidi ya Iran

    Marekani yarefusha vikwazo vya miaka kumi dhidi ya Iran

    Dec 15, 2016 04:36

    Katika kuendeleza uhasama na uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, rasimu ya kurefusha vikwazo vya miaka kumi vya Marekani dhidi ya Iran imepasishwa na kuwa sheria bila ya kutiwa saini na Rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS