Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Obama: Karibuni hivi Trump atakabiliana na ukweli wa mambo kuhusu ahadi alizozitoa

    Obama: Karibuni hivi Trump atakabiliana na ukweli wa mambo kuhusu ahadi alizozitoa

    Nov 15, 2016 11:33

    Rais Barack Obama wa Marekani amemuonya rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba hivi karibuni atashuhudia ukweli wa mambo juu ya utekelezaji wa ahadi zake tata alizozitoa kwa Wamarekani wakati wa kampeni.

  • Trump: Ni lazima niibuke mshindi Marekani, vyombo vya habari acheni uongo

    Trump: Ni lazima niibuke mshindi Marekani, vyombo vya habari acheni uongo

    Oct 28, 2016 04:26

    Mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais nchini Marekani amesema kuwa, ni lazima ataibuka mshindi katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika siku chache zijazo, huku akivituhumu vyombo vya habari vya Marekani kuwa vinamuunga mkono hasimu wake na kupotosha ukweli.

  • Zolfaghari: Marekani inafanya njama za kueneza harakati za Kiwahabi M/Kati

    Zolfaghari: Marekani inafanya njama za kueneza harakati za Kiwahabi M/Kati

    Oct 28, 2016 01:02

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Iran, Hossein Zolfaghari amesema kuwa, hivi sasa Marekani inafanya njama za kueneza harakati za makundi ya ukufurishaji ya Kisalafi ndani ya nchi za Iran, Pakistan na Afghanistan.

  • Trump aamua kutozungumzia hali ya afya ya Hillary Clinton

    Trump aamua kutozungumzia hali ya afya ya Hillary Clinton

    Sep 12, 2016 11:32

    Mgombea uraia kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, amenyamanzia kimya kuzungumzia hali ya afya ya mshindani wake wa chama cha Democrat, Hillary Clinton.

  • Salehi: Tani 32 za maji mazito zitasafirishwa kupelekwa Marekani mnamo wiki zijazo

    Salehi: Tani 32 za maji mazito zitasafirishwa kupelekwa Marekani mnamo wiki zijazo

    Jun 05, 2016 10:56

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO), Ali Akbar Salehi, amesema shehena ya tani 32 za maji mazito inatazamiwa kusafirishwa kupelekwa nchini Marekani katika wiki zijazo.

  • Paul Ryan: Marekani imesalimu amri mbele ya Iran kwa mununua maji mazito ya Arak

    Paul Ryan: Marekani imesalimu amri mbele ya Iran kwa mununua maji mazito ya Arak

    Apr 23, 2016 01:47

    Spika wa Congresi ya Marekani amesema kuwa uamuzi wa nchi yake wa kununua maji mazito ya nyuklia kutoka Iran ni kusalimu amri ambako hakuna mfano mbele ya Iran.

  • Video: Kuingia kwenye maji ya Iran kwawaponza wanajeshi wa Marekani

    Video: Kuingia kwenye maji ya Iran kwawaponza wanajeshi wa Marekani

    Feb 06, 2016 08:26

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS