-
Uturuki yafanya mazungumzo na Iraq, Qatar na UAE kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo"
Sep 16, 2023 02:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amethibitisha kuwa nchi yake inafanya mazungumzo na Iraq, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Qatar kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo".
-
Ebrahim Raisi: Iran imethibitisha kuwa ni rafiki wa Iraq katika nyakati ngumu
Sep 14, 2023 07:39Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijawahi kusita kutoa msaada wowote kwa ajili ya kuihami Iraq katika vita dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS) na imethibitisha kivitendo kuwa ni rafiki mwaminifu wa Iraq katika nyakati ngumu.
-
Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo
Sep 06, 2023 03:14Rais wa Iraq amesema kuwepo uhusiano wa karibu kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kutapelekea kuimarikaa usalama na uthabiti wa eneo.
-
Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)
Sep 02, 2023 08:06Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kisuni wa Iraq katika mkoa wa Diyala ametahadharisha juu ya hatari ya kambi ya al-Houl kwa usalama wa Iraq na eneo kwa ujumla na akaeleza kwamba kambi hiyo imeanzishwa na Marekani kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuandaa kizazi cha nne cha kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq
Aug 26, 2023 11:59Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi imesisitiza kuwa iko tayari kushirikiana na taasisi nyingine za usalama za nchi hiyo kulinda usalama wa Waislamu wakati wa ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS na kusisitiza kuwa, askari wake 11,000 watashiriki kwenye zoezi hilo.
-
Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi
Aug 24, 2023 07:32Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeionya vikali Marekani na kusema kuwa itasambaratisha miradi ya Washington katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya
Jul 23, 2023 13:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ayapiga marufuku mashirika ya Sweden
Jul 21, 2023 11:08Waziri wa Mawasiliano wa Iraq ameyapiga marufuku mashirika yote ya Sweden kufanya kazi nchini humo ikiwa ni kujibu kitendo cha nchi hiyo ya Ulaya Magharibi cha kuruhusu kuvunjiewa heshima tena Qur'ani Tukufu na bendera ya Iraq.
-
Kuchomwa moto Qur'ani Tukufu, balozi wa Sweden atimuliwa Iraq
Jul 21, 2023 02:40Serikali ya Iraq imemfukuza balozi wa Sweden mjini Baghdad kulalamikia serikali ya nchi hiyo ya Ulaya Magharibi ya kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Kushambulia ubalozi wa Uswidi jijini Baghdad; matokeo ya kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu
Jul 20, 2023 12:18Waandamanaji wa Iraq waliokuwa na hasira wameushambulia ubalozi wa Uswidi mjini Baghdad kujibu udhalilishaji uliopangwa dhidi ya Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.