-
Rais Raisi: Azma ya viongozi wa Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili
Apr 29, 2023 12:10Rais Ebrahim Raisi amesema: azma ya viongozi wa nchi mbili za Iran na Iraq ni kustawisha uhusiano baina ya pande mbili.
-
Chanzo cha usalama Iraq kimeonya: Daesh wanarejeshwa al Anbar chini ya usimamizi wa Marekani
Apr 10, 2023 07:52Chanzo cha ngazi za juu cha usalama katika mkoa wa al Anbar nchini Iraq kimetangaza kwamba maafisa wa serikali ya nchi hiyo wanapaswa kuwa na wasiwasi wa kujirudia hali ya mwaka 2014 magharibi mwa mkoa huo na kurudi kwa wapiganaji wa kundi la Daesh (ISIS).
-
Wairaqi zaidi ya milioni moja wametoweka na hawajulikani waliko
Apr 05, 2023 11:25Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kuwa, zaidi ya watu milioni moja wametoweka nchini Iraq na hawajulikani waliko; katika kipindi cha miaka hamsini iliyopita, ikiwa ni pamoja na enzi za udikteta wa Saddam Hussein, za uvamizi wa Iraq ulioongozwa na Marekani, na za kuibuka kwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Seneti ya Marekani yafuta kibali cha Pentagon kuhusu oparesheni za kijeshi Iraq
Apr 01, 2023 03:13Seneti ya Marekani Jumatano wiki hii ilihitimisha kibali ilichokuwa imekitoa kwa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) mwaka 1999 na 2002 kwa ajili ya vita huko Iraq na imepasisha uamuzi wa kufutwa kibali cha Pentagon kwa ajili ya kutekeleza oparesheni za kijeshi huko Iraq bila ya kuhitaji idhini ya Kongresi.
-
Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani
Mar 27, 2023 02:11Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 23, 2023 02:13Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 22, 2023 02:17Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja
Mar 21, 2023 02:26Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.
-
Muhammad Shia al Sudani: Iran haiingilii masuala ya Iraq; Wamagharibi wanapasa kufahamu mazingira ya Iraq
Mar 16, 2023 04:37Waziri Mkuu wa Iraq amekaribisha mapatano ya Iran na Saudi Arabia na kusema kuwa: Iran kamwe haingilii masuala ya ndani ya Iraq na Wamagharibi wanapasa kufahamu mazingira ya Iraq.
-
Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq
Mar 13, 2023 07:23Afisa wa jeshi la Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) bado lina wapiganaji 400 hadi 500 katika nchi hiyo.