-
Rais Raisi asisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wa Iran na Iraq
Mar 09, 2023 03:13Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa Iran na Iraq katika nyuga tofauti.
-
Kan'ani: Ujerumani iombe radhi kwa jinai zake dhidi ya Iraq, Iran
Mar 08, 2023 10:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani matamshi yaliyotolewa na Annalena Baerbock, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika safari yake ya hivi karibuni nchini Iraq.
-
Iraq: Katika siku za usoni tutakuja kukabiliwa na kizazi kipya cha DAESH (ISIS)
Mar 06, 2023 09:59Msemaji wa Kamandi Kuu ya vikosi vya ulinzi vya Iraq ametoa indhari kwa kusema: "katika miaka michache ijayo, tutakabiliana na kizazi kipya cha magaidi wa DAESH (ISIS), tukiwa hatuna taarifa zozote za kukitambua kizazi hicho".
-
Mahusiano ya pande mbili ya Iran na Iraq; mhimili wa mazungumzo ya Amir-Abdollahian mjini Baghdad
Feb 24, 2023 13:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo akiwemo Rais na Waziri Mkuu na kujadili uhusiano wa pande mbili na wa kieneo.
-
Indhari ya kuenea tishio la Daesh pasi na kutajwa waungaji mkono wake
Feb 14, 2023 02:26Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya katika ripoti yake ya kiduru kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, licha ya hasara na pigo kubwa lililopita kundi la kigaidi la Daesh katika miaka ya hivi karibuni lakini tishio la la kundi hilo la kigaidi lingali linaongezeka kwa ulimwengu.
-
Mwito wa Russia wa kufuatiliwa jinai za Marekani na Uingereza nchini Iraq
Feb 10, 2023 04:06Vasily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Jumatano ya juzi na ikiwa ni siku tatu baada ya kumbukumbu ya mwaka wa uongo mkubwa wa Marekani dhidi ya Iraq alisema kuwa, lazima watenda jinai Wamarekani na Waingereza wapandishwe kizimbani kwa jinai zao nchini humo.
-
Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi
Feb 06, 2023 13:04Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq
Feb 04, 2023 11:12Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Saudi Arabia, Faisal bin Farhan Al-Saud, tarehe Pili Februari alitembelea Iraq. Safari hiyo ya Bin Farhan inaweza kutathminiwa katika kalibu ya masuala ya kikanda na kimataifa.
-
Kuendelea uingiliaji hasi wa Marekani katika masuala ya ndani ya Iraq
Jan 23, 2023 03:47Marekani ingali inaendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iraq kwa namna hasi, kwa kuzingatia nyenzo za mashinikizo ilizonazo mikononi mwake.
-
Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi
Jan 11, 2023 11:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Iraq mjini Tehran, kulalamikia kitendo cha mamlaka za Baghdad kutumia neno bandia la 'Ghuba ya Kiarabu' badala ya 'Ghuba ya Uajemi' katika mashindano ya kandanda ya nchi za Kiarabu, yanayoendelea katika mji bandari wa Basra, kusini mwa Iraq.