-
Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo kati ya Tehran na Cairo
Dec 25, 2022 07:39Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Waziri Mkuu wa Iraq alipendekeza katika Mkutano wa Baghdad-2 kuhusu suala la kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Misri kuhusu masuala ya kisiasa na kiusalama.
-
Ujumbe wa UN wakutana na Ayatullah Sistani, unafuatilia jinai za Daesh
Dec 19, 2022 11:30Ujumbe wa Umoja wa Mataifa leo (Jumatatu) umekutana na kufanya mazungumzo na kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali Sistani katika mji mtakatifu wa Najaf al Ashraf.
-
Malengo ya safari ya as-Sudani mjini Tehran
Dec 01, 2022 04:03Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq, aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi kwa ziara ya siku mbili, na baada ya kukutana na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Iran, pia alikutana na kuzungumza na Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu
Nov 27, 2022 02:55Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.
-
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Nov 27, 2022 02:30Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.
-
Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq
Nov 26, 2022 12:06Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu mpya wa Iraq amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa kuzitembelea Jordan na Kuwait.
-
IRGC yaongeza wanajeshi katika mpaka wa magharibi wa Iran
Nov 26, 2022 02:34Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi zaidi katika mipaka ya magharibi na kaskazini magharibi mwa Iran ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yanayotaka kujitenga yaliyoko katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran
Nov 26, 2022 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 24, 2022 02:24Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh
Nov 19, 2022 02:29Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo.