-
Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu
Nov 26, 2022 23:25Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.
-
Ujerumani, mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu katika joho la mtetezi wa haki za binadamu
Nov 26, 2022 23:00Ujerumani, kama mwanachama wa Umoja wa Ulaya, pamoja na Marekani, imechukua mtazamo wa kiadui na kuingilia masuala ya ndani ya Iran wakati wa machafuko na ghasia za hivi karibuni.
-
Kustawisha uhusiano na kutatua hitilafu na majirani; kipaumbele cha sera za nje za serikali mpya ya Iraq
Nov 26, 2022 08:36Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu mpya wa Iraq amefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa kuzitembelea Jordan na Kuwait.
-
IRGC yaongeza wanajeshi katika mpaka wa magharibi wa Iran
Nov 25, 2022 23:04Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi zaidi katika mipaka ya magharibi na kaskazini magharibi mwa Iran ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yanayotaka kujitenga yaliyoko katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran
Nov 25, 2022 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 23, 2022 22:54Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Iraq yawatia nguvuni magaidi 15 wa Daesh
Nov 18, 2022 22:59Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia mbaroni magaidi 15 wa kundi la Daesh katika mikoa sita ya nchi hiyo.
-
Abdollahian: Iraq ina wajibu wa kuzuia vitisho dhidi ya Iran kutokea Kurdistan
Nov 15, 2022 04:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito kwa jirani yake Iraq kuchukua hatua za kuzuia vitisho vinavyopangwa na kutekelezwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kutokea eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.
-
IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq
Nov 14, 2022 07:44Kwa mara nyingine, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeshambulia na kuharibu ngome za magaidi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.
-
Mkwamo wa kisiasa wa Iraq wamalizika baada ya Bunge kupasisha serikali ya al-Sudani
Oct 28, 2022 07:13Bunge la Iraq limeipasisha serikali ya Waziri Mkuu Mohammad Shia al-Sudani baada ya kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.