-
Kwa nini Marekani inashinikiza kupokonywa silaha makundi ya muqawama ya Iraq?
Oct 23, 2025 04:23Tommy Piggott, Naibu Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema siku ya Jumanne kwamba Marco Rubio Waziri wa Mambo ya Nje, katika mazungumzo yake na Mohammad Shia Al-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq, ametoa wito wa kupokonywa silaha makundi ya muqawama ya nchi hiyo akidai kuwa ni tishio kwa maslahi ya Washington na Baghdad.
-
Iraq: Hatutaruhusu ardhi na anga yetu zitumike kutishia usalama wa Iran, majirani wengine
Oct 21, 2025 03:31Iraq iimesisitiza kuwa haitaruhusu ardhi na anga yake zitumike kutishia usalama wa Iran au wa nchi nyingine yoyote jirani.
-
Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq
Oct 02, 2025 04:56Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea kujaribu kuzihalalisha kwa majina tofauti ya udanganyifu.
-
Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq
Aug 23, 2025 02:45Wanajeshi vamizi wa Marekani wameanza kuondoka katika kambi ya anga ya Ain al-Asad katika Mkoa wa Al-Anbar nchini Iraq, hayo ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
AU yataka ulimwengu utumie ramani ya dunia inayoakisi ukubwa halisi wa bara la Afrika
Aug 16, 2025 01:38Umoja wa Afrika (AU) umeunga mkono kampeni inayolenga kukomesha matumizi ya ramani ya dunia ya karne ya 16 ya Mercator, inayotumiwa na serikali na mashirika ya kimataifa, na badala yake kutumia ramani inayowakilisha kwa usahihi zaidi ukubwa wa bara la Afrika.
-
Waliofariki katika ajali ya moto Iraq wafikia 71, wataombolezwa kwa siku 3
Jul 17, 2025 08:58Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki kutokana na moto uliotokea katika mji wa Kut, jimboni Wasit mashariki mwa Iraq, imefikia 77.
-
Hakim: Vikosi vya Hashdu Shaabi ni nguzo ya usalama wa Iraq
May 01, 2025 23:20Kiongozi wa Harakati ya Hikma ya Kitaifa ya Iraq, Ammar al-Hakim amevipongeza vikosi vya Hashdu Shaabi na kusisitiza kuwa vimekuwa na mchango mkubwa kwa usalama wa Iraq.
-
Ayatullah Sistani: Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi
Apr 22, 2025 05:17Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.
-
Muqawama Iraq: Huenda kongozi wa Hayat Tahrir al-Sham ya Syria akamatwa akija Baghdad
Apr 20, 2025 22:55Kiongozi wa kundi la Muqawama na kupambana na ugaidi la Asa’ib Ahl al-Haq nchini Iraq ameonya kwamba, anayejiita rais wa Syria Abu Mohammed al-Jolani anaweza kukamatwa atakapowasili Baghdad, kutokana na kuwepo hati ya kukamatwa kwake.
-
Iraq: Tuna hamu ya kushirikiana na Iran kuimarisha utulivu wa kieneo
Apr 11, 2025 22:50Rais wa Iraq, Abdul Latif Rashid ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kufanya kazi na kushirikiana na Iran ili kuhakikisha kuwa eneo hili la Asia Magharibi linakuwa na utulivu na usalama.