-
Sheikh Naim Qassem: Wapiganaji wa Hizbullah ni fakhari inayotetemesha mihimili ya Uzayuni
Nov 14, 2024 07:05Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
-
Ayatullah Sistani asikitishwa na kushindwa jamii ya kimataifa kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni
Nov 05, 2024 07:56Marja' wa ngazi ya juu ya Mashia wa Iraq imeeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia hujuma za kikatili za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
-
Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
Nov 03, 2024 06:17Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani endapo Washington itatoa msaada wowote katika mashambulizi yanayoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iraq.
-
Muqawama wa Kiislamu wa Iraq waendeleza mashambulizi dhidi ya vituo vya wanajeshi wa Kizayuni
Nov 02, 2024 07:20Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kuwa umekilenga kituo muhimu katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel).
-
Muqawama wa Iraq wafanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika vituo vya Kijeshi vya utawala wa Kizayuni
Oct 21, 2024 07:45Katika taarifa, Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kufanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika maeneo ya utawala wa Kizayuni katika milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Kwa silaha na uwezeshaji wa US, Israel imedhamiria kuwahamisha Wapalestina wote wa Ghaza
Oct 20, 2024 06:43Hassan Mneimneh, mchambuzi wa kisiasa wa Taasisi ya Mashariki ya Kati, ameiambia Al Jazeera kwamba ukatili unyama na unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umewezeshwa na Marekani na usambazaji wake wa silaha kwa ajili ya kuendesha vita katika eneo hilo la Palestina.
-
Vijana wa Iraq wachoma moto ofisi ya kituo cha MBC cha Saudi Arabia
Oct 19, 2024 07:47Vijana wa Iraq waliokuwa na hasira wamechoma moto ofisi ya MBC ya Saudi Arabia mjini Baghdad baada ya kituo hicho cha televisheni kuwatusi makamanda wa muqawama waliouawa shahidi kuwa ni magaidi.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 05:35Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Iraq dhidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2024 06:48Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umelenga shabaha moja muhimu ya utawala habithi wa Kizayuni kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Yair Golan: 'Serikali Sifuri' ya Netanyahu inaiburuza Israel kwenye vita visivyo na mwisho
Sep 16, 2024 03:37Kiongozi wa upinzani katika utawala wa Kizayuni wa Israel Yair Golan ameutaja muungano unaotawala wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu kuwa "serikali sifuri" ambayo inaupeleka utawala huo kwenye "vita visivyo na mwisho."