-
Ujumbe wa Idi wa makundi ya muqawama: Mapambano dhidi ya mabeberu yataendelea
May 03, 2022 22:06Brigedi za Hizbullah nchini Iraq zimesema kuwa, zitaendeleza muqawama na kushikamana vilivyo na Uislamu hadi pale ubeberu wa madola ya Magharibi utakapoangamizwa katika nchi za Waislamu.
-
Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba
May 03, 2022 00:14Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.
-
Hadi al-Amiri: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni hatua isiyokubalika kwa namna yoyote ile
Apr 30, 2022 06:24Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.
-
Mrengo wa Sadr waandaa muswada wa kupiga marufuku uhusiano na Israel
Apr 25, 2022 06:12Mrengo wa Sadr unaoongozwa na mwanachuoni mashuhuri wa Kishia nchini Iraq, Muqtada al-Sadr umeandaa muswada wa sheria inayoharamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Al Kadhimi: Wapiganaji wa Daesh hawana chaguo isipokuwa kifo
Apr 23, 2022 06:59Waziri Mkuu wa Iraq amewambia magaidi wa Daesh (ISIS) kwamba wanasubiriwa na mashambulizi zaidi na mauaji ya kiongoi mpya wa kundi hilo.
-
Iraq: Kambi ya Marekani inayowahifadhi magaidi mashariki mwa Syria inapaswa kuvunjwa
Apr 10, 2022 06:38Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iraq ametoa wito wa kuvunjwa kambi ya wakimbizi inayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani karibu na mpaka wa Iraq nchini Syria, akisema kambi hiyo inayohifadhi maelfu ya magaidi wa Daesh ni tishio halisi kwa nchi yake.
-
Iran na Iraq zatoa mwito wa kutekelezwa makubaliano ya pande mbili
Apr 08, 2022 22:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Iraq, Fuad Hossein wamesisitizia haja ya kuharakishwa mchakato wa kutekelezwa makubaliano mbalimbali yaliyofikiwa huko nyuma baina ya nchi mbili hizi jirani za Kiislamu.
-
Rais wa Iran azitaka nchi za eneo zisipuuze njama za kibeberu za US-Israel
Apr 03, 2022 22:06Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi yoyote katika eneo la Asia Magharibi itayopuuza njama na malengo ya kibeberu ya Marekani na utawala wa Kizayuni, itakuwa imepuuza maslahi ya taifa lake, na itaandamwa na ghadhabu za mataifa ya Kiislamu.
-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 28, 2022 20:55Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
Aliyependekezwa na mrengo wa Sadr atangaza utayari wa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq
Mar 24, 2022 08:54Mwanasiasa aliyependekezwa na kuungwa mkono na Harakati ya Sadr kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, ametangaza kuwa yuko tayari kushika wadhifa huo.