Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Asaeb Ahlul Haq Iraq: Ikiwa uvamizi wa Marekani utaendelea, silaha za muqawama zitatoa jibu

    Asaeb Ahlul Haq Iraq: Ikiwa uvamizi wa Marekani utaendelea, silaha za muqawama zitatoa jibu

    Mar 23, 2022 23:03

    Harakati ya Asaeb Ahlul Haq nchini Iraq imetangaza kuwa itaanzisha mapambano ya silaha iwapo Marekani haitaondoka katika ardhi ya Iraq hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • 'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'

    'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'

    Mar 21, 2022 23:01

    Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jinai ya Halabja; muelekeo wa Magharibi na uungaji mkono thabiti wa Iran kwa Wakurdi

    Jinai ya Halabja; muelekeo wa Magharibi na uungaji mkono thabiti wa Iran kwa Wakurdi

    Mar 17, 2022 18:50

    Jinai ya Halabja ni moja ya matukio yaliyodhihirisha wazi kwamba kinyume na Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote ni muungaji mkono thabiti wa raia Wakurdi wa Iraq.

  • Rais wa Iraq: Jinai ya Halabja ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq

    Rais wa Iraq: Jinai ya Halabja ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq

    Mar 17, 2022 07:16

    Rais Barham Salih wa Iraq amezungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai ya silaha za kemikali ya Halabja na kusisitiza kuwa, jinai hiyo ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq.

  • Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video

    Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video

    Mar 13, 2022 04:38

    Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.

  • Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio

    Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio

    Mar 07, 2022 08:40

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Iraq ya al Nujaba amesema kuwa harakati za Uturuki huko Iraq ni tishio; na kwamba iwapo nchi hiyo haitaacha chokochoko zake hizo basi Wairaki wataingia katika hali ya kijeshi.

  • Magaidi wanne wakufurishaji watiwa nguvuni mkoani al Anbar, Iraq

    Magaidi wanne wakufurishaji watiwa nguvuni mkoani al Anbar, Iraq

    Mar 04, 2022 23:25

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia nguvuni magaidi wanne wakufurishaji wa genge la Daesh (ISIS) katika operesheni waliyofanya katika mkoa wa al Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo.

  • Baada ya kulipa gharama za kuivamia kijeshi Kuwait, Iraq yaondolewa kwenye Sura ya 7 ya UN

    Baada ya kulipa gharama za kuivamia kijeshi Kuwait, Iraq yaondolewa kwenye Sura ya 7 ya UN

    Feb 23, 2022 23:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametangaza kuwa nchi hiyo imeondolewa kwenye orodha ya Sura ya 7 ya Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna

    Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna

    Feb 14, 2022 07:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna mkwamo wowote katika mazungumzo ya Vienna na kilichopo ni kwamba hivi sasa Iran inasubiri majibu kutoka kwa nchi za Magharibi zinazoshiriki kwenye mazungumzo hayo.

  • Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki

    Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki

    Feb 02, 2022 23:00

    Katibu Mkuu wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni tawi la muungano wa makundi ya muqawama wa Hashd al-Sha’abi nchini Iraq amesisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu utatoa jibu mwafaka kwa uvamizi na chokochoko mpya za jeshi la Uturuki dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS