-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 28, 2022 20:55Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
Aliyependekezwa na mrengo wa Sadr atangaza utayari wa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq
Mar 24, 2022 08:54Mwanasiasa aliyependekezwa na kuungwa mkono na Harakati ya Sadr kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, ametangaza kuwa yuko tayari kushika wadhifa huo.
-
Asaeb Ahlul Haq Iraq: Ikiwa uvamizi wa Marekani utaendelea, silaha za muqawama zitatoa jibu
Mar 23, 2022 23:03Harakati ya Asaeb Ahlul Haq nchini Iraq imetangaza kuwa itaanzisha mapambano ya silaha iwapo Marekani haitaondoka katika ardhi ya Iraq hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'
Mar 21, 2022 23:01Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jinai ya Halabja; muelekeo wa Magharibi na uungaji mkono thabiti wa Iran kwa Wakurdi
Mar 17, 2022 18:50Jinai ya Halabja ni moja ya matukio yaliyodhihirisha wazi kwamba kinyume na Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote ni muungaji mkono thabiti wa raia Wakurdi wa Iraq.
-
Rais wa Iraq: Jinai ya Halabja ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq
Mar 17, 2022 07:16Rais Barham Salih wa Iraq amezungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai ya silaha za kemikali ya Halabja na kusisitiza kuwa, jinai hiyo ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq.
-
Kambi za kijeshi za Marekani na MOSSAD nchini Iraq zashambuliwa kwa makombora + Video
Mar 13, 2022 04:38Vyombo vya habari vya Iraq na duru za kijeshi nchini humo zimeripoti kuwa, kambi ya kijeshi ya Marekani katika mji wa Erbil, makao makuu ya eneo la Kurdistan la Iraq imeshambuliwa kwa makombora ya balestiki.
-
Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio
Mar 07, 2022 08:40Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Iraq ya al Nujaba amesema kuwa harakati za Uturuki huko Iraq ni tishio; na kwamba iwapo nchi hiyo haitaacha chokochoko zake hizo basi Wairaki wataingia katika hali ya kijeshi.
-
Magaidi wanne wakufurishaji watiwa nguvuni mkoani al Anbar, Iraq
Mar 04, 2022 23:25Vikosi vya usalama vya Iraq vimewatia nguvuni magaidi wanne wakufurishaji wa genge la Daesh (ISIS) katika operesheni waliyofanya katika mkoa wa al Anbar wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Baada ya kulipa gharama za kuivamia kijeshi Kuwait, Iraq yaondolewa kwenye Sura ya 7 ya UN
Feb 23, 2022 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametangaza kuwa nchi hiyo imeondolewa kwenye orodha ya Sura ya 7 ya Hati ya Umoja wa Mataifa.