-
Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna
Feb 14, 2022 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna mkwamo wowote katika mazungumzo ya Vienna na kilichopo ni kwamba hivi sasa Iran inasubiri majibu kutoka kwa nchi za Magharibi zinazoshiriki kwenye mazungumzo hayo.
-
Khazali: Wanamuqawama wa Iraq watajibu uchokozi mpya wa Uturuki
Feb 02, 2022 23:00Katibu Mkuu wa harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni tawi la muungano wa makundi ya muqawama wa Hashd al-Sha’abi nchini Iraq amesisitiza kuwa, mrengo wa mapambano ya Kiislamu utatoa jibu mwafaka kwa uvamizi na chokochoko mpya za jeshi la Uturuki dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Watu wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Feb 02, 2022 04:27Vyombo vya habari vimetangaza kuwa watu wasiopungua wanane wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki katika mji wa Sinjar kaskazini mwa Iraq.
-
Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq
Jan 24, 2022 04:47Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Kutiwa nguvuni maafisa wa ngazi za juu wa upelelezi Iraq kwa kufanya ujasusi kwa maslahi ya Mossad
Jan 22, 2022 08:25Baadhi ya duru za Iraq zimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya nchi hiyo juzi Alhamisi iliagiza kutiwa mbaroni maafisa wanne wa ngazi ya juu wa Idara ya Intelijinsia ya nchi hiyo kwa uhalifu wa kuasisi mtandao wa kijasusi kwa maslahi ya Shirika la Ujasusi la Israel na Kitengo cha Oparesheni Maalumu cha Mossad.
-
Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq
Jan 22, 2022 05:17Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 10, 2022 23:10Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Wanajeshi magaidi wa Marekani waiba makumi ya malori ya mafuta ya Syria
Jan 10, 2022 08:33Duru za kiusalama za Syria zimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na wanajeshi magaidi wa Marekani umeiba malori mengine 79 ya mafuta ya Syria na kuyaingiza nchini Iraq.
-
Rais wa Iraq: Jen. Soleimani alikimbilia kutusaidia katika wakati nyeti
Jan 05, 2022 23:22Rais wa Iraq amesema Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliitikia mwito wa taifa la Iraq na kwenda haraka kushirikiana na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika wakati hasasi wa kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Mrengo wa Nouri al-Maliki: Tumekubaliana juu ya namna serikali mpya ya Iraq itakavyokuwa
Jan 01, 2022 04:26Muungano wa Utawala wa Sheria wa Iraq umesema, yamefikiwa makubaliano kuhusu namna serikali mpya ya nchi hiyo itakavyokuwa na kwamba serikali hiyo itakuwa ni ya "maafikiano".