Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Al Kadhimi: Arubaini ya Imam Hussein ni kilele cha upinzani dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu

    Al Kadhimi: Arubaini ya Imam Hussein ni kilele cha upinzani dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu

    Sep 28, 2021 03:11

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa shughuli ya siku ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) ni kilele cha upinzani wa wanadamu dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu.

  • HAMAS yaishukuru tena Iraq kwa misimamo yake ya kupinga kuanzishwa mapatano na Israel

    HAMAS yaishukuru tena Iraq kwa misimamo yake ya kupinga kuanzishwa mapatano na Israel

    Sep 28, 2021 02:26

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena imeishukuru serikali, makundi ya kisiasa, wazee wa koo na viongozi wa makabila ya Iraq, kwa msimamo wao wa kupinga kuanzishwa mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Je, kuongezeka ugaidi wa Daesh nchini Iraq ni kujikarabati kundi hilo au ni njama mpya ya Marekani?

    Je, kuongezeka ugaidi wa Daesh nchini Iraq ni kujikarabati kundi hilo au ni njama mpya ya Marekani?

    Sep 24, 2021 09:58

    Tangu mwanzo wa mwezi huu, magaidi wa Daesh wametekeleza operesheni 16 za ugaidi katika mikoa ya Iraq ya Kirkuk, Swalah ad-Deen na Diyala, ambapo watu zaidi ya 45 wameuawa na kujeruhiwa.

  • Faida kubwa ya mashirika ya kutengeneza silaha ya Marekani kutokana na tukio la Septemba 11

    Faida kubwa ya mashirika ya kutengeneza silaha ya Marekani kutokana na tukio la Septemba 11

    Sep 16, 2021 02:23

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Watson Institute for International and Public Affairs la Chuo Kikuu cha Brown nchini Marekani, nusu ya bejeti ya wizara ya ulinzi ya nchi hiyo, Pentagon baina ya miaka ya 2001 hadi 2020 ambayo inafikia dola trilioni 14 imewaendea wakandarasi na mashirika yanayotenegeneza silaha ya nchi hiyo. Kati ya fedha hizo dola trilioni 4.4 zilitengewa vituo vya kijeshi na viwanda vinavyohusika na masuala ya kijeshi.

  • Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq

    Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq

    Sep 10, 2021 12:50

    Kamandi Kuu ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq imetangaza tarehe ya mwisho kwa askari wa jeshi la Marekani kuwepo katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi

    Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi

    Sep 08, 2021 07:12

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi.

  • Jeshi la Iraq laua viongozi kadhaa wa ISIS kaskazini mwa nchi

    Jeshi la Iraq laua viongozi kadhaa wa ISIS kaskazini mwa nchi

    Aug 30, 2021 11:24

    Idara ya Intelejensia na Upelelezi ya Iraq imetangaza habari ya kuangamizwa wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi.

  • Muqtada al-Sadr: Mkutano wa Baghdad umeonesha umuhimu wa Iraq

    Muqtada al-Sadr: Mkutano wa Baghdad umeonesha umuhimu wa Iraq

    Aug 30, 2021 02:28

    Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq amesema Mkutano wa Baghdad uliofanyika juzi Jumamosi umeonesha nafasi na umuhimu wa Iraq katika eneo la Asia Magharibi.

  • Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake

    Mkutano wa Baghdad, kiwango cha ushiriki na malengo yake

    Aug 29, 2021 03:48

    Mkutano wa nchi jirani na Iraq umeanza leo Jumamosi tarehe 28 Agosti mjini Baghdad.

  • Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe

    Mrengo wa Utawala wa Sheria Iraq: Mchakato wa kuondoka askari wa Marekani uharakishwe

    Aug 24, 2021 13:14

    Mrengo wa Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq unaoongozwa na waziri mkuu wa zamani Nouri al Maliki umetilia mkazo udharura wa kuharakishwa mchakato wa askari wa Marekani kuondoka nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS