Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Rais Ebrahim Raisi: Nchi za Asia Magharibi zinaweza kubuni ramani ya njia ya amani bila ya kutegemea madola ya kigeni

    Rais Ebrahim Raisi: Nchi za Asia Magharibi zinaweza kubuni ramani ya njia ya amani bila ya kutegemea madola ya kigeni

    Aug 17, 2021 15:56

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za eneo la Magharibi mwa Asia zinaweza kubuni ramani ya njia na kuimarisha amani, utulivu na usalama endelevu kwa kushirikiana, na kuongeza kuwa uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya eneo hilo hauwezi kudhamini amani, ustawi na maendeleo.

  • Rais Assad wa Syria aalikwa kuhudhuria kikao cha Baghdad cha viongozi wa nchi za eneo

    Rais Assad wa Syria aalikwa kuhudhuria kikao cha Baghdad cha viongozi wa nchi za eneo

    Aug 16, 2021 12:34

    Duru za habari zimeripoti kuwa serikali ya Iraq imemwalika rais wa Syria kushiriki katika kikao cha viongozi wa nchi jirani na Iraq kitakachofanyika mjini Baghdad.

  • Malengo ya Iraq katika kuandaa kikao cha nchi jirani

    Malengo ya Iraq katika kuandaa kikao cha nchi jirani

    Aug 12, 2021 02:25

    Serikali ya Iraq inafanya juhudi za kuandaa kikao cha viongozi wa nchi za eneo na nchi kadhaa za kimataifa kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Agosti.

  • Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tuna haki ya kujibu mashambulio ya Israel

    Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tuna haki ya kujibu mashambulio ya Israel

    Aug 11, 2021 03:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesema kambi hiyo ya muqawama ina haki ya kujibu mapigo, kufuatia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameua vijana kadhaa wa mrengo huo wa mapambao ya Kiislamu.

  • Maroketi mawili yapiga karibu na ubalozi wa Marekani, Baghdad

    Maroketi mawili yapiga karibu na ubalozi wa Marekani, Baghdad

    Jul 30, 2021 02:20

    Ripoti zinasema kuwa maroketi mawili yamepiga eneo la karibu na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad katika eneo lenye ulinzi mkubwa la Green Zone.

  • Radiamali tofauti za maafisa na makundi ya Iraq kuhusu taarifa ya pamoja ya al-Kadhimi na Biden

    Radiamali tofauti za maafisa na makundi ya Iraq kuhusu taarifa ya pamoja ya al-Kadhimi na Biden

    Jul 28, 2021 08:23

    Rais Joe Biden wa Marekani na Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq wametoa taarifa mwishoni mwa duru ya nne ya mazungumzo ya kistratijia nya nchi mbili ambapo wamesema kuwa wameafikiana juu ya kufikia kikomo uwepo wa askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

  • Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Jul 28, 2021 07:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.

  • HRW: Israel ilitenda jinai za kivita katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza

    HRW: Israel ilitenda jinai za kivita katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Jul 28, 2021 01:32

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mashambulio yaliyofanywa na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita vya siku 11 dhidi ya Ukanda wa Gaza yalifikia kiwango cha jinai za kivita.

  • Makundi ya Mashia Iraq yakaribisha makubaliano ya kuondolewa askari wa Marekani nchini humo

    Makundi ya Mashia Iraq yakaribisha makubaliano ya kuondolewa askari wa Marekani nchini humo

    Jul 27, 2021 15:08

    Mirengo miwili ya Al Fat-h na An-Nasr pamoja na harakati ya Hekima ya Kitaifa na ile ya Sadr nchini Iraq zimekaribisha juhudi za timu ya mazungumzo ya nchi hiyo zilizowezesha kufikiwa makubaliano na Marekani ya kuwaondoa askari wake katika ardhi ya Iraq.

  • Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani

    Safari ya Al Kadhimi mjini Washington sambamba na duru ya nne ya mazungumzo baina ya Iraq na Marekani

    Jul 26, 2021 07:53

    Duru ya nne ya mazungumzo kati ya Marekani na Iraq ilianza siku ya Ijumaa ya tarehe 23 Julai mjini Washington, Marekani. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hussein na Qassem Al Aa'raji, Mshauri wa Usalama wa Taifa ndio wanaoiwakilisha nchi yao katika mazungumzo hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS