Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani

    Al Kadhimi: Iraq haiwahitaji wanajeshi wa Marekani

    Jul 26, 2021 02:38

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa Baghdad haiwahitaji wanajeshi wa Marekani kwa ajili ya kupambana na kundi la Daesh.

  • Serikali ya Iraq yawatia mbaroni magaidi waliohusika na shambulio la umwagaji damu katika kiunga cha Sadr

    Serikali ya Iraq yawatia mbaroni magaidi waliohusika na shambulio la umwagaji damu katika kiunga cha Sadr

    Jul 25, 2021 02:58

    Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi amesema, vyombo vya usalama vimewagundua na kuwatia mbaroni watu waliohusika na shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye kitongoji cha Sadr katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.

  • Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa

    Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa

    Jul 24, 2021 11:55

    Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.

  • Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani

    Muqawama wa Iraq waonya kuweko matokeo mabaya ya kushirikiana kiusalama na Marekani

    Jul 24, 2021 08:07

    Kamati ya Uratibu ya Makundi ya Muqawama ya Iraq imesisitiza juu ya kutoruhusiwa uwepo wa aina yoyote ile wa majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021

    WSJ: Marekani kuondoa askari wake Iraq kufikia mwishoni mwa 2021

    Jul 23, 2021 07:46

    Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limedai kuwa, Marekani na Iraq zimeafikiana juu ya kuondoka wanajeshi wote wa US kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu kufikia mwishoni mwaka huu 2021.

  • A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad

    A'saaib Ahlil-Haq: Utawala wa Kizayuni na Marekani ndio waliohusika na mripuko wa Baghdad

    Jul 21, 2021 07:53

    Katibu Mkuu wa harakati ya A'saaib Ahlil-Haq ameashiria njama za Marekani za kutaka kuliimarisha genge la DAESH(ISIS) nchini Iraq na akasema: katika kufanikisha jambo hilo, Washington inasaidiwa na mashirika ya intelijensia ya Israel na nchi za Kiarabu.

  • Al Azhar ya Misri yalaani mlipuko wa kigaidi katika kitongoji cha Sadr huko Iraq

    Al Azhar ya Misri yalaani mlipuko wa kigaidi katika kitongoji cha Sadr huko Iraq

    Jul 20, 2021 11:15

    Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kimelaani mlipuko wa kigaidi uliotokea jana katika kitongoiji cha Sadr huko Iraq sambamba na kuwadia Sikukuu ya Idul Adhaa na Siku ya Arafa.

  • Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq

    Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq

    Jul 09, 2021 08:05

    Afisa wa Batalioni ya Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa mapambano dhidi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo yataendelea hadi wanajeshi wote wa nchi hiyo watakapoondoka katika ardhi ya Iraq.

  • Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq

    Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq

    Jul 08, 2021 04:20

    Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa mashirika ya ujasusi ya Saudi Arabia yanahusika na mashambulio ya kigaidi yanayolenga na kuharibu mtandao wa kusambaza umeme nchini humo.

  • Nukta sita kuhusu mashambulizi ya Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi huko Iraq

    Nukta sita kuhusu mashambulizi ya Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi huko Iraq

    Jul 01, 2021 02:23

    Ndege za kivita za Marekani siku ya Jumatatu iliyopita ziliishambulia kambi ya usaidizi na lmasuala ua lojistiki ya Brigedi ya 14 ya harakati ya wanamuqawa wa Hashdu Shaabi ya Iraq katika mpaka wa nchi hyo na Syria, ambapo katika mashambulizi hayo wapiganaji wanne wa harakati hiyo waliuliwa shahidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS