Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Ilhan Omar alaumu shambulio ya Marekani dhidi ya makundi ya muqawama ya Iraq

    Ilhan Omar alaumu shambulio ya Marekani dhidi ya makundi ya muqawama ya Iraq

    Jun 29, 2021 02:42

    Mbunge Muislamu nchini Marekani ameilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kufanya shambulizi katika mpaka wa Syria na Iraq na kusema kuwa, shambulio hilo ni siasa zilizofeli.

  • Makundi ya muqawama ya Iraq: Tutalipiza kisasi dhidi ya Marekani

    Makundi ya muqawama ya Iraq: Tutalipiza kisasi dhidi ya Marekani

    Jun 28, 2021 10:43

    Makundi ya muqawama ya Iraq yametangaza kuwa, yatalipiza kisasi mashambulizi ya Marekani dhidi ya ngome za kundi la Hashdu Shaabi.

  • Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili

    Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili

    Jun 26, 2021 15:01

    Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.

  • Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke

    Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke

    Jun 22, 2021 02:31

    Kuwepo kwa majeshi vamizi ya Marekani katika eneo lolote la Magharibi mwa Asia na hata maeneo mengine ya dunia daima kumekuwa sababu ya ukosefu wa amani na mashaka na machungu kwa wakazi wa maeneo hayo, tofauti kabisa na madai yanayotolewa na serikali ya Washington.

  • Nujabaa ya Iraq: Tuko tayari kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria

    Nujabaa ya Iraq: Tuko tayari kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria

    Jun 12, 2021 12:38

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Iraq ya al-Nujabaa ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo ametangaza utayarifu wa harakati yake kwa ajili ya kuikomboa Miinuko ya Golan ya Syria.

  • Sababu za mivutano ya mara kwa mara katika uhusiano wa serikali ya Iraq na Hashdu Shaabi

    Sababu za mivutano ya mara kwa mara katika uhusiano wa serikali ya Iraq na Hashdu Shaabi

    May 30, 2021 03:54

    Katika siku za karibuni uhusiano wa serikali ya Mustafa al Kadhimi Waziri Mkuu wa Iraq na wapiganaji wa kundi la Hashdu Shaabi kwa mara nyingine tena umegubikwa na hali ya mivutano. Hali hiyo imejitokeza baada ya askari maalumu waliochini ya usimamizi wa Waziri Mkuu wa Iraq kumtia mbaroni Qassim Mosleh mmoja kati ya makamanda wa ngazi ya juu wa Hashdu Shaabi.

  • Hadi al-A'miri: Kudhoofisha nguvu za Hashd al Shaabi ni kudhoofisha nguvu za serikali ya Iraq

    Hadi al-A'miri: Kudhoofisha nguvu za Hashd al Shaabi ni kudhoofisha nguvu za serikali ya Iraq

    May 29, 2021 02:44

    Mwenyekiti wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq, maarufu kama Hashd al Shaabi, kwa damu yake toharifu limeweza kuipa nguvu serikali ya Iraq na hivyo kila anayetaka kusambaratisha nguvu na uwezo wa jeshi hilo kimsingi atakuwa amedhoofisha nguvu za taifa la Iraq.

  • Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani

    Kufika ukingoni subira ya makundi ya muqawama ya Iraq kuhusu wanajeshi wa Marekani

    May 25, 2021 02:17

    Kituo cha Uratibu wa Makundi ya Muqawama ya Iraq kimetoa taarifa kikisema muhula waliokuwa wamepewa askari vamizi wa Marekani kuondoka Iraq umefika ukingoni na sambamba na hilo kumeshadidishwa oparesheni dhidi ya maeneo waliko magaidi hao wa Marekani nchini Iraq.

  • Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti  nchini Iraq ni usalama Iran

    Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti nchini Iraq ni usalama Iran

    May 17, 2021 13:04

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema usalama na uthabiti nchini Iraq ni sawa na usamala nchini Iran na amesisitiza kuhusu ushirikiano wa nchi mbili katika kukabiliana na taharui za makundi ya wakufurishaji na magaidi.

  • Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq

    Mustafa al-Kadhimi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiunga mkono serikali ya Iraq

    May 10, 2021 07:49

    Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, Wairani ni watu wa kutazama mambo kwa uhalisia wake na kwamba, juhudi zao zinalenga kuiunga mkono serikali ya Baghdad na wala hazina nia ya kuidhoofisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS