-
Wanajeshi wa Marekani nchini Iraq; mwaka mmoja baada ya kupasishwa mpango wa Bunge
Jan 05, 2021 23:15Jumanne ya jana tarehe 5 Januari ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Bunge la Iraq lilipopasisha mpango wa kufukuzwa nchini humo askari wa Marekani.
-
Iraq yaishitaki Marekani kwa kutumia silaha zenye urani nchini humo
Jan 05, 2021 10:49Mshauri wa masuala ya kisheria wa Bunge la Iraq amefungua mashtaka dhidi ya Marekani katika mahakkama ya Sweden kwa tuhuma za kukiuka mamlaka ya kujitawala ya Iraq na kutumia silaha zenye uranium dhidi ya nchi hiyo.
-
Wairaq kufanya maandamano mamilioni leo kukumbuka siku waliyouawa shahidi makamanda wa muqawama
Jan 02, 2021 23:24Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, lengo la maandamano makubwa yatakayofanywa leo na wananchi wa Iraq kwa mnasaba wa kukumbuka siku walipouliwa shahidi makamanda wa muqawama ni kutangazwa upinzani dhidi ya uwepo kijeshi wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa
Dec 28, 2020 08:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia ya kuipatia ufumbuzi mizozo na mivutano inayoikabili Afghanistan ni utatuzi wa kisiasa.
-
Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq
Dec 27, 2020 20:50Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Wairaqi waandamana kulaani Marekani kwa kuwaua makamanda wa vita dhidi ya ugaidi
Dec 27, 2020 12:02Watu wa Iraq wameandamana katika mji mkuu, Baghdad, kulaan kitendo cha kigaidi cha Marekani cha kuwaua makamanda wakuu wa vita dhidi ya ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwanamapmabano mwenza wa Iraq Abu Mahdi al Muhandis.
-
Mvutano kati ya Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq na serikali ya Iraq; sababu na malengo yake
Dec 27, 2020 10:20Usiku wa kuamkia Jumatatu ya wiki iliyopita ubalozi wa Marekani ulioko kwenye eneo lenye ulinzi mkali, linalojulikana kama Green Zone, katika mji mkuu wa Iraq Baghdad ulishambuliwa kwa maroketi.
-
Nouri al-Maliki: Qassem Suleimani alifelisha njama za kubadilisha utambulisho wa eneo
Dec 25, 2020 23:15Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq Nouri Al-Maliki amesema, kwa mapambano, uvumlivu mkubwa na jihadi yake, shahid Qassem Suleimani aliweza kufelisha na kuzima njama nyingi za maadui za kutaka kubadilisha utambulisho wa eneo la Asia Magharibi.
-
Misafara mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani yashambuliwa nchini Iraq
Dec 25, 2020 23:11Duru za kiusalama nchini Iraq zimeripoti kuwa misafara mingine mitatu ya jeshi la kigaidi la Marekani imeshambuliwa katika maeneo ya Dhi Qar, Diwaniya na Babil.
-
Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani
Dec 25, 2020 23:09Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.