Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Radiamali mbalimbali kwa tarehe ya kuitishwa uchaguzi wa mapema wa Bunge nchini Iraq

    Radiamali mbalimbali kwa tarehe ya kuitishwa uchaguzi wa mapema wa Bunge nchini Iraq

    Aug 02, 2020 22:42

    Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq ameitangaza tarehe 6 Juni ya mwaka ujao wa 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa mapema wa Bunge.

  • Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili

    Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili

    Aug 01, 2020 05:01

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Uchaguzi wa mapema wa Bunge utafanyika Juni 6, 2021

    Waziri Mkuu wa Iraq: Uchaguzi wa mapema wa Bunge utafanyika Juni 6, 2021

    Aug 01, 2020 02:52

    Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhimi ametangaza kuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 6 Juni 2021 ndipo utapofanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa bunge la nchi hiyo.

  • 'Ndege zisizo na rubani za Marekani na Israel ndizo zilizoshambulia kambi za Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq'

    'Ndege zisizo na rubani za Marekani na Israel ndizo zilizoshambulia kambi za Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq'

    Jul 30, 2020 21:56

    Mbunge wa Iraq Falih al-Khazali amesema, kuna nyaraka zinazoonyesha kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo zilizohusika katika hujuma ya shambulio la kijeshi dhidi ya vituo vya jeshi la kujitolea la wananchi wa nchi hiyo la Al-Hashdu-Sha'abi.

  • Mufti wa Masuni Iraq atoa fatua ya kutilia mkazo ulazima wa majeshi vamizi kuondoka nchini humo

    Mufti wa Masuni Iraq atoa fatua ya kutilia mkazo ulazima wa majeshi vamizi kuondoka nchini humo

    Jul 24, 2020 03:45

    Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq amesisitiza udharura na ulazima wa vikosi vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran inataka kuona Iraq yenye izza na huru, Marekani ni adui

    Kiongozi Muadhamu: Iran inataka kuona Iraq yenye izza na huru, Marekani ni adui

    Jul 21, 2020 23:05

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Iran inataka kuona Iraq yenye izza sambamba na kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo na mshikamano wa ndani; kinyume chake Marekani ni adui halisi na haitaki kuwepo Iraq inayojitawala, yenye nguvu na yenye serikali iliyochaguliwa na waliowengi.

  • Rouhani: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vinafungamana

    Rouhani: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vinafungamana

    Jul 21, 2020 22:00

    Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi wamesema uhusiano wa Tehran an Baghdad unavuka mipaka ya nchi mbili hizi jirani, na kusisitiza kuwa: Uhuru wa kujitawala na usalama wa Iran na Iraq vina mfungamano mkubwa.

  • Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Jul 19, 2020 06:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Iraq daima zinapaswa kuwa macho na tayari kwa ajili ya kukabiliana na njama za magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq

    Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq

    Jul 12, 2020 03:08

    Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

  • Kaburi la umati lenye maiti za watu 600 lagunduliwa kaskazini mwa Iraq

    Kaburi la umati lenye maiti za watu 600 lagunduliwa kaskazini mwa Iraq

    Jul 06, 2020 21:59

    Kaburi la umati la watu waliouawa na kundi la kigaidi la Daesh limegunduliwa katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS