-
Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad
Jul 05, 2020 02:04Serikali ya Iraq imeilaani Marekani kwa kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wake mjini Baghdad.
-
Gazeti la Kisaudi lililomvunjia heshima Ayatullah Sistani lalazimika kubadilisha msimamo
Jul 04, 2020 23:36Malalamiko makubwa na upinzani mkali wa viongozi na mirengo tofauti ya kisiasa ya Iraq, sambamba na hatua nyingi zilizochukuliwa na wananchi na makundi ya muqawama wa Kiislamu katika mitandao ya kijamii dhidi ya hatua ya gazeti la Kisaudi la Ash-Sharqul-Awsat ya kuchora katuni ya kumvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa nchini Iraq, hatimaye zimepelekea gazeti hilo lilazimike kuondoa katuni hiyo.
-
Magaidi sita wa ISIS watiwa mbaroni magharibi mwa Iraq
Jul 04, 2020 03:35Mkuu wa Idara ya Intelijensia na Kupambana na Ugaidi katika mkoa wa Anbar magharbii mwa Iraq ametangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama sita wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Nukta nne muhimu katika matamshi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq kuhusu uvamizi wa ISIS nchini humo
Jul 03, 2020 22:07Nouri al Maliki, Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq amefanyiwa mahojiano maalumu na mtandao wa habari wa al Maluma na amezungumzia nukta nne muhimu zaidi kuhusu uvamizi wa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Iraq wa mwaka 2014.
-
Ripoti: Wanajeshi wa Marekani wanapora mafuta ya Syria
Jul 02, 2020 07:40Wanajeshi wa Marekani wamepora shehena ya matrela 30 ya mafuta ya petroli kutoka visima vya mafuta vya Syria na kuyapeleka Iraq.
-
Hashd al Shaabi: Marekani inataka kumalizia hamaki zake kwetu
Jun 29, 2020 03:37Kamanda wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi amesema kuwa, Marekani bado imejawa na hamaki na inataka kumalizia hamaki zake hizo kwa harakati hiyo ya wananchi ambayo inavuruga njama za Wamarekani hasa baada ya harakati hiyo kulishinda genge la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoundwa na Marekani.
-
Al Hashdul Shaabi yaipongeza Iran kwa msaada wake katika kupambana na ugaidi
Jun 13, 2020 22:13Mkuu wa Idara ya Habari ya harakati ya wananchi wa Iraq ya al Hashdul Shaabi ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Iraq.
-
Mapatano ya Washington na Baghdad kuhusu kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq
Jun 12, 2020 03:16Kumefikiwa mapatano ya kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq. Mapatano hayo yamefikiwa Alhamisi katika mkutano uliofanyika baina ya Abdulkarim Hashemi Mustafa mwakilishi wa serikali ya Iraq na David Hale mwakilishi wa serikali ya Marekani.
-
Waitifaki wa Marekani wapunguza nusu ya askari wao nchini Iraq
Jun 11, 2020 03:30Nchi 29 wanachama wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq zimepunguza kwa asilimia 50 idadi ya wanajeshi wao vamizi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Iraq na Marekani; dalili na matokeo yake
Jun 11, 2020 03:07Mazungumzo kati ya viongozi wa Iraq na Marekani yameanza leo Alkhamisi tarehe 11 Juni.