Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq

    Muqtada al-Sadr: Marekani inapaswa kuondoa vikosi vyake vyote Iraq

    Jun 09, 2020 03:32

    Kiongozi wa Harakati ya Al-Sadr ya nchini Iraq ameitaka Marekani iviondoe mara moja vikosi vyake vyote katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran na Iraq; majirani wawili wenye nyuga nyingi za ushirikiano wa kiuchumi

    Iran na Iraq; majirani wawili wenye nyuga nyingi za ushirikiano wa kiuchumi

    Jun 04, 2020 21:54

    Iran na Iraq ni nchi mbili jirani zenye nyuga na mambo mengi yanayozikutanisha pamoja na zina pia nafasi kubwa, pana na za kila namna za kupanua ushirikiano wao katika nyanja tofauti za kiuchumi kama vile sekta ya nishati.

  • Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Jun 03, 2020 02:58

    Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.

  • Mpasuko mkubwa waibuka ndani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)

    Mpasuko mkubwa waibuka ndani ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)

    May 31, 2020 00:18

    Msemaji wa Jeshi la Iraq ameeleza kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya safu ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) hasa baada ya kuuawa kiongozi wa genge hilo, Abubakar Al-Baghdad.

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani: Vita vya mwaka 2003 ndio sababu ya matatizo ya leo ya Iraq

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani: Vita vya mwaka 2003 ndio sababu ya matatizo ya leo ya Iraq

    May 29, 2020 06:28

    Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa vita vya mwaka 2003 vya Marekani nchini Iraq ndio chanzo kikuu cha matatizo ya sasa ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa ISIS nchini Syria

    Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa ISIS nchini Syria

    May 29, 2020 01:46

    Televisheni ya al Mayadeen imeripoti kuwa, kiongozi mmoja mkubwa wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Iraq katika maficho ya magaidi hao huko Deir ez-Zor, Syria.

  • Iraq: Hatuna haja na wageni katika kupambana na magaidi wa ISIS

    Iraq: Hatuna haja na wageni katika kupambana na magaidi wa ISIS

    May 27, 2020 21:53

    Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema, nchi yake ina uwezo wa kutosha wa kupambana na kuwamaliza magaidi wa Daesh (ISIS) hivyo haina haja na msaada wa wanajeshi kutoka nje.

  • Kiongozi wa ISIS nchini Iraq auawa katika shambulizi la anga

    Kiongozi wa ISIS nchini Iraq auawa katika shambulizi la anga

    May 26, 2020 23:14

    Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq kimetangaza habari ya kuangamizwa kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo, Mu'taz al-Jubouri katika shambulizi la anga.

  • Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    May 25, 2020 00:02

    Kusambazwa faili la sauti katika mitandao ya kijamii kumepelekea kufichuliwa kashfa ya Saudi Arabia kutuma maelfu ya magaidi wa nchi hiyo kwenda Iraq katika miaka ya hivi karibuni.

  • Bunge la Iraq lataka kanali ya televisheni ya MBC mali ya Saudi Arabia ipigwe kufuli kwa kuwadhalilisha shakhsia wa nchi hiyo

    Bunge la Iraq lataka kanali ya televisheni ya MBC mali ya Saudi Arabia ipigwe kufuli kwa kuwadhalilisha shakhsia wa nchi hiyo

    May 15, 2020 21:58

    Kamisheni ya Mahusiano na Vyombo vya Habari ya Bunge la Iraq imetaka kufungwa kanali ya televisheni ya Saudi Arabia ya MBC, kufuatia kanali hiyo kumvunjia heshima Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS