-
Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya Iraq: Tunafuatilia kwa umakini harakati zote za Marekani
May 13, 2020 23:23Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq amesisitiza kwamba Wamarekani na vibaraka wao wanatakiwa kufahamu kwamba macho ya muqawama daima yanafuatilia harakati zao kwa umakini mkubwa.
-
Waziri Mkuu wa Iraq apongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya ISIS
May 10, 2020 19:53Waziri Mkuu mpya wa Iraq ameipongeza na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada na uungaji mkono wake katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Kupata ridhaa ya Bunge serikali mpya ya Iraq; mwisho wa mkwamo wa kisiasa wa miezi mitano
May 07, 2020 07:04Baada ya miezi mitano ya mkwamo wa kisiasa nchini Iraq, hatimaye Bunge la nchi hiyo limeidhinisha Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhimi.
-
Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq
May 05, 2020 06:50Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Iraq ameelezea amri ya Adil Abdul-Mahdi, Waziri Mkuu wa Iraq ya kuanzishwa operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran
May 05, 2020 03:34Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani imewatunuku medali za heshima makumi ya askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi kali la Iran la mapema mwaka huu nchini Iraq.
-
Sababu za kudhihiri tena Daesh nchini Iraq
May 04, 2020 05:24Magaidi wa kundi la Daesh wameshambulia Harakati ya Wananchi wa Iraq Hashdu Sha'bi, na kuua pamoja na kujeruhi makumi ya wanaharakati wa kundi hilo la mapambano ya Kiislamu.
-
Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia
May 04, 2020 02:45Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.
-
Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi
May 03, 2020 03:39Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad kulaani shambulizi la hivi karibuni la kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoua na kujeruhi makumi ya wanachama wa harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Sha'abi.
-
Iran: Tuko tayari kuwanufaisha wengine uzoefu tuliopata wa kukabiliana na corona
May 02, 2020 03:22Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyanufaisha mataifa mengine uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni
Apr 26, 2020 20:11Msemaji wa Mkuu wa Majeshi ya Iraq amesema kuwa, mazungumzo ya jinsi ya kuondoka majeshi ya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo yataanza mwezi Juni mwaka huu.