-
Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona
Mar 29, 2020 21:59Kuenea kusiko kwa kawaida kwa virusi angamizi vya Corona duniani, kumezifanya nchi nyingi za dunia kukumbwa na hali ngumu na matatizo.
-
Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki
Mar 28, 2020 08:10Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema kuwa, hatua chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo, hazitakuwa na taathira yoyote kwenye muqawama wa Wairaki.
-
Adnan al Zurfi aunga mkono harakati ya al Hashd al Sha'abi
Mar 26, 2020 22:06Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Iraq ameiunga mkono harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi.
-
Iraq yaishtaki Marekani Baraza la Usalama baada ya kushambulia vituo vya jeshi la nchi hiyo
Mar 17, 2020 12:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imeishtaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya jeshi la nchi hiyo kushambulia kambi za jeshi na askari polisi wa Iran.
-
Iraq katika kuihami na kuitetea Al-Hashdu-Sha'abi sambamba na kukabiliana na kupambana na Marekani
Mar 16, 2020 22:10Katika muda wa siku chache zilizopita ndege za kivita za Marekani zilishambulia mara kadhaa kwa makombora ngome za Al-Hashdu-Sha'abi na Muqawama wa Iraq; mashambulio ambayo yamekosolewa vikali na Wairaqi wengi.
-
Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake
Mar 13, 2020 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.
-
Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq
Mar 13, 2020 07:20Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.
-
Hashdu Sha'abi yatekeleza operesheni ya mafanikio katika mikoa minne ya Iraq
Feb 29, 2020 23:11Kamandi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq imetangaza kumalizika kwa operesheni ya mafanikio makubwa dhidi ya magaidi katika mikoa minne ya Al-Anbar, Diyala, Kirkuk na Salahdin.
-
Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq
Feb 28, 2020 02:05Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.
-
Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan
Feb 24, 2020 21:52Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.