Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Makundi ya kisiasa nchini Iraq yampa Waziri Mkuu muhula wa siku 45 kutekeleza mageuzi

    Makundi ya kisiasa nchini Iraq yampa Waziri Mkuu muhula wa siku 45 kutekeleza mageuzi

    Nov 19, 2019 09:44

    Makundi ya kisiasa nchini Iraq, yamesaini makubaliano maalumu sambamba na kutoa muhula wa siku 45 kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kutekeleza mageuzi yanayotakiwa na wananchi.

  • Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo

    Rais wa Iraq ajibu uingiliaji wa Marekani katika masuala ya nchi hiyo

    Nov 12, 2019 09:07

    Rais wa Iraq ametoa radiamali yake kwa taarifa ya uingiliaji ya Marekani kwa kusema: Mageuzi yanayotarajiwa huko Iraq kamwe hayapasi kuathiriwa na maamuzi kutoka nje.

  • Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala  mataifa ya eneo

    Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo

    Nov 10, 2019 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.

  • Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi: Tunafungamana na maelekezo ya maraajii wa kidini

    Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi: Tunafungamana na maelekezo ya maraajii wa kidini

    Nov 09, 2019 04:37

    Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq, imesisitizia kufungamana kikamilifu na maelekezo ya maraajii wa kidini kama ambavyo pia inaunga mkono matakwa halali ya wananchi.

  • Jeshi la Iraq laamuru kutiwa mbaroni wahusika wote wa uharibifu kwenye maandamano nchini humo

    Jeshi la Iraq laamuru kutiwa mbaroni wahusika wote wa uharibifu kwenye maandamano nchini humo

    Nov 08, 2019 04:42

    Msemaji wa Kamanda wa Majeshi ya Iraq ametoa amri yenye lengo la kukabiliana na wahusika wa uharibifu katika mitaa ya nchi hiyo.

  • Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za

    Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za "Madaesh" wake

    Nov 06, 2019 05:21

    Nchi kubwa za barani Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa zina mchango mkubwa wa kuundwa na kupata nguvu magenge mbalimbali ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) na lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwatumia magaidi hao kuipindua serikali halali ya Syria. Hata hivyo nchi hizo zimefeli vibaya.

  • Marekani na Israel zachochea na kuunga mkono machafuko ya Iraq

    Marekani na Israel zachochea na kuunga mkono machafuko ya Iraq

    Nov 06, 2019 04:35

    Rais wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameeleza kufurahishwa na machafuko ya Iraq na kusema wanaunga mkono hali hiyo.

  • Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq

    Pande tatu za Marekani, Israel na Imarati sababu ya kushadidi machafuko Iraq

    Nov 04, 2019 08:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahlul Haq ya nchini Iraq amesema kuwa pande tatu za Marekani, Imarati na utawala wa Kizayuni zimeazimia kushadidisha machafuko na mapigano huko Iraq.

  • Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi yatangaza kuwaunga mkono waandamanaji Iraq

    Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi yatangaza kuwaunga mkono waandamanaji Iraq

    Nov 01, 2019 09:29

    Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchi Iraq imetangaza kuwa, haiingilii masuala ya kisiasa nchini humo lakini inaunga mkono matakwa halali ya wananchi kupitia maandamano ya amani.

  • Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni

    Magaidi walioua watu katika maandamano ya Iraq watiwa nguvuni

    Oct 31, 2019 07:04

    Kamanda wa Operesheni ya Baghdad amesema kuwa magaidi waliowalenga na kuua raia wanaoandamana nchini humo wametiwa nguvuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS