-
Dakta Mukwege wa Kongo DR ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Oct 05, 2018 12:14Denis Mukwege, daktari bingwa wa upasuaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pamoja na mwanaharakati wa Iraq, Nadia Murad wametangazwa washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka huu 2018.
-
Al Hashdu Sha'abi: Al Baghdadi ameponea chupuchupu kuuawa na makombora ya Iran
Oct 05, 2018 04:44Kamanda mmoja wa kikosi cha wapiganaji wa kujitolea nchini Iraq cha al Hashdu Sha'abi ametangaza kuwa Abubakar al Baghdadi kamanda wa kundi la kigaidi la Daesh alinusurika kifo wakati Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran liliposhambulia makao ya viongozi wa kundi hilo la kigaidi huko mashariki mwa Furat nchini Syria Jumamosi iliyopita.
-
Ibrahim al-Jaafari: Madai ya Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Iran nchini Iraq ni uongo mtupu + Video
Sep 29, 2018 11:43Ibrahim al-Jaafari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametupilia mbali madai yasiyo na msingi wowote ya Waziri Mkuu wa utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu juu ya uwepo wa askari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Iraq na kuongeza kuwa, maneno hayo ni uongo mtupu.
-
Hashdu sh-Sha'abi yaonya juu ya njama za Marekani za kuwaingiza Iraq magaidi wa Daesh
Sep 24, 2018 22:54Msemaji wa kamandi ya upande wa kaskazini ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq ameonya juu ya njama za Marekani za kuwasaidia magaidi wa genge la Daesh (ISIS) kutoka Idlib, Syria kuingia nchini humo.
-
Marekani yatuma wanajeshi wake katika mpaka wa Iraq na Syria
Sep 21, 2018 23:34Duru za Iraq zimearifu kuwa Marekani imetuma wanajeshi wake karibu na kivuko cha al Qaim katika mpaka wa Iraq na Syria.
-
Wabunge wa Kisuni Iraq: Marekani inatushinikiza tumteue tena Haider al-Abadi kuwa Waziri Mkuu
Sep 20, 2018 10:53Mjumbe wa Mrengo wa Ujenzi wa Iraq ambaye pia ni mbunge wa Kisuni katika Bunge la nchi hiyo amefichua kuwa serikali ya Marekani inawashinikiza wabunge wote wa Kisuni nchini Iraq wamuungE mkono Haider al-Abadi ili ateuliwe tena kuwa waziri mkuu.
-
Iran: Madai ya US dhidi yetu kuhusu Basra hayana msingi
Sep 12, 2018 22:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madai ya Marekani kwamba Tehran imehusika katika machafuko ya mji wa Basra nchini Iraq ni ya kipuuzi, ya kichochezi na yasiyokuwa na msingi.
-
Sisitizo la Ibrahim Jaafari la kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Iraq
Sep 12, 2018 03:15Ibrahim Jaafari Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesisitiza kuondoka haraka iwezekanavyo wanajeshi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Hashdu Sha'abi: Marekani ndio inayochochea ghasia Basra, Iraq
Sep 09, 2018 02:42Kamanda wa ngazi za juu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi nchini Iraq cha Hashdu Sha'abi amesema harkati hiyo ya wananchi tayari imewakabidhi maafisa wa serikali ya Baghdad ushahidi unaoonesha kuwa ubalozi mdogo wa Marekani mjini Basra ndio uliohusika katika kuratibu na kuchochea machafuko yanayoendelea kushuhudiwa hivi sasa katika mkoa wa Basra, kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Malalamiko ya wananchi wa Basra ni ya haki
Sep 08, 2018 10:03Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, anakubaliana na mpango wa kuungalia mkoa wa Basra kwa mtazamo maalumu katika baadhi ya vipengee vinavyohusiana na utekelezaji wa bajeti na maamuzi ya serikali.