-
Kundi la Asa'ib Ahl al-Haq: Wanaofanya ghasia mkoa wa Basra, Iraq wanatekeleza malengo ya Marekani
Sep 08, 2018 02:44Katibu Mkuu wa kundi la Asa'ib Ahl al-Haq ambalo ni sehemu ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, amesema kuwa watu wanaofanya ghasia katika mkoa wa Basra, wanatekeleza malengo maalumu kupitia maandamano.
-
Mahakama Iraq yawafunga maisha jela magaidi wa ISIS
Sep 02, 2018 22:12Mahakama nchini Iraq imewafunga kifungo cha maisha gerezani watu wanne ambao wamepatikana na hatia ya kujiunga na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh.
-
Kuendelea kupingwa uingiliaji wa Marekani katika mchakato wa kuundwa serikali mpya nchini Iraq
Aug 31, 2018 02:01Kongresi ya Taifa ya Iraq imesisitiza kuwa, uingilkiaji wa Marekani katika suala la kuundwa serikali mpya ya nchi hiyo umezidi kuvuruga hali ya kisiasa na kuzidi kuufanya tata mwenendo wa kisiasa wa Iraq.
-
Ammar al Hakim: Iraq haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo dhidi ya Iran
Aug 22, 2018 21:09Sayyid Ammar al Hakim, kiongozi wa mrengo wa al Hikma wa Iraq kwa mara nyingine amemuonya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu vikwazo vyake dhidi ya Iran na kusema kuwa, Baghdad haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo vya kiuchumi vinavyowekwa na Washington dhidi ya taifa la Iran.
-
Wairaqi wapinga kufunguliwa ubalozi mdogo wa Saudia huko Basra
Aug 21, 2018 03:17Wananchi wa mkoa wa Basra nchini Iraq wamefanya maandamano makubwa sambamba na kuenea tetesi kuhusu uwezekano wa kufunguliwa ubalozi mdogo wa Saudi Arabia katika eneo hilo.
-
Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri
Aug 19, 2018 23:25Rais wa Iraq amevitaja vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni kwa madhara ya serikali na wananchi wa Iraq.
-
Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq
Aug 03, 2018 20:55Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.
-
Magaidi saba wa ISIS wapata kifungo cha maisha gerezani
Jul 20, 2018 20:48Mahakama nchini Iraq imewahukumu vifungo vya maisha gerezani magaidi saba Wairaqi wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh baada ya kuwapata na hatia ya kusaidia katika utekelezaji wa hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Muqtada Sadr ataka kusimamishwa mazungumzo ya kuundwa serikali mpya ya Iraq
Jul 20, 2018 02:58Moqtada al-Sadr, kiongozi wa muungano wa Sairun, nchini Iraq ametaka kusimamishwa mazungumzo yenye lengo la kuundwa serikali mpya, hadi pale kutakapotekelezwa matakwa ya walalamikaji.
-
Jeshi la Iraq lawatia mbaroni wanachama wa kundi jipya hatari la ukufurishaji mkoani al-Anbar
Jul 06, 2018 03:36Jeshi la Iraq limefanikiwa kuwatia mbaroni wanachama wa kundi moja hatari la ukufurishaji na kigaidi na ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa muda mrefu mkoani al-Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.