-
Magaidi saba wa ISIS wapata kifungo cha maisha gerezani
Jul 20, 2018 20:48Mahakama nchini Iraq imewahukumu vifungo vya maisha gerezani magaidi saba Wairaqi wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh baada ya kuwapata na hatia ya kusaidia katika utekelezaji wa hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Muqtada Sadr ataka kusimamishwa mazungumzo ya kuundwa serikali mpya ya Iraq
Jul 20, 2018 02:58Moqtada al-Sadr, kiongozi wa muungano wa Sairun, nchini Iraq ametaka kusimamishwa mazungumzo yenye lengo la kuundwa serikali mpya, hadi pale kutakapotekelezwa matakwa ya walalamikaji.
-
Jeshi la Iraq lawatia mbaroni wanachama wa kundi jipya hatari la ukufurishaji mkoani al-Anbar
Jul 06, 2018 03:36Jeshi la Iraq limefanikiwa kuwatia mbaroni wanachama wa kundi moja hatari la ukufurishaji na kigaidi na ambao wamekuwa wakifuatiliwa kwa muda mrefu mkoani al-Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza magaidi 30 wa Daesh, Salahuddin
Jul 03, 2018 23:21Ndege za kijeshi za Iraq zimefanya mashambulizi ya anga na kufanikiwa kuangamiza wanachama wasiopungua 16 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, katika mkoa wa Salahuddin.
-
Muqtada Sadr na al-Abadi watangaza muungano wa vyama vyao vya siasa Iraq
Jun 24, 2018 02:50Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al-Abadi na mwanachuoni Moqtada al-Sadr wametangaza juu ya kuunda muungano unaovileta pamoja vyama vyao vya kisiasa.
-
Jeshi la Iraq laangamiza magaidi 45 wa Daesh Syria
Jun 24, 2018 02:37Shambulizi la anga lililotekelezwa na jeshi la Iraq limeangamiza wananchama 45 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Polisi wa Iraq wagundua mahandaki mawili ya magaidi wa Daesh (ISIS)
Jun 20, 2018 11:49Polisi wa Federali ya Iraq imetangaza leo kuwa, imefanikiwa kugundua mahandaki mawili ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Khuwaja na kutegua zaidi ya mabomu 10 yaliyokuwa yametegwa kwenye mahandaki hayo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Waliochoma moto masanduku ya kura wamelenga moja kwa moja usalama na demokrasia yetu
Jun 11, 2018 09:36Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, moto uliotokea katika kituo kimoja kikuu cha kuhifadhia masanduku ya kura mjini Baghdad, ni njama zenye lengo la kutoa pigo kwa usalama na demokrasia ya nchi hiyo.
-
Kituo cha kuhifadhia masanduku ya kura za uchaguzi wa bunge la Iraq chateketea kwa moto
Jun 10, 2018 22:12Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa kituo cha kuhifadhia masanduku ya kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni nchini humo kimeteketezwa na moto.
-
Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake
Jun 10, 2018 12:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Nujaba ya nchini Iraq amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni njia nzuri ya Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kikoloni na kiuchumi kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.