Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika

    Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika

    Nov 16, 2017 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ametahadharisha kwamba, wanachama wa kundi hatari la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wanakusudia kuweka kambi na kujizatiti katika nchi za kaskazini mwa Afrika.

  • Mtetemeko mkubwa wa ardhi katika mpaka wa Iran na Iraq katika Picha

    Mtetemeko mkubwa wa ardhi katika mpaka wa Iran na Iraq katika Picha

    Nov 13, 2017 13:06

    Hadi tunapokea habari hii, idadi ya watu waliokuwa wamepoteza maisha yao kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliopita eneo la mpakani mwa Iran na Iraq ilikuwa imeshafikia watu 445 na wengine 7100 kujeruhiwa.

  • Al Abadi: Karbala inawahusu wanadamu wote

    Al Abadi: Karbala inawahusu wanadamu wote

    Nov 10, 2017 01:25

    Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amesema kuwa mapenzi ya watu kwa Karbala na Imam Hussein ni kielelezo kwamba tukio lililojiri katika eneo hilo linawahusu wanadamu wote na si makhsusi kwa dini au madhuhebu moja.

  • El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri

    El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri

    Nov 09, 2017 11:35

    Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametoa tahadhari juu ya hatari ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walioshindwa nchini Iraq na Syria kuingia Libya na kuchafua zaidi usalama wa nchi hiyo na majirani wake.

  • SAUTI, Huku mamilioni ya wafanyaziara wakiendelea kuwasili Karbala, Iraq ukarimu wa Wairaq nao umewavutia wengi

    SAUTI, Huku mamilioni ya wafanyaziara wakiendelea kuwasili Karbala, Iraq ukarimu wa Wairaq nao umewavutia wengi

    Nov 08, 2017 13:52

    Huku mamilioni ya wafanyaziara kutoka maeneo mbalimbali ya duania wakiendelea kuwasili mjini Karbala, Iraq, maafisa usalama wa nchi hiyo wamekuwa wakionekana kila mahala ikiwa ni katika juhudi za kuhakikisha marasimu ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imam Hussein yanafanyika kwa amani.

  • Velayati: Uungaji mkono wa Iran kwa Syria na Iraq umeuokoa ulimwengu wa Kiislamu na hatari kubwa

    Velayati: Uungaji mkono wa Iran kwa Syria na Iraq umeuokoa ulimwengu wa Kiislamu na hatari kubwa

    Nov 08, 2017 04:26

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na muqawama katika nchi za Syria na Iraq umevunja njama za maadui wanaoutakia mabaya ulimwengu wa Kiislamu.

  • SAUTI, Usalama umeendelea kuimarishwa mjini Karbala, Iraq huku mamilioni ya watu wakiendelea kuwasili

    SAUTI, Usalama umeendelea kuimarishwa mjini Karbala, Iraq huku mamilioni ya watu wakiendelea kuwasili

    Nov 07, 2017 13:10

    Usalama umeimarishwa mjini Karbala, Iraq zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika marasimu ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imam Hussein (as) Mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).

  • Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya hali ya juu

    Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS ni nembo ya hali ya juu

    Nov 07, 2017 10:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia matembezi ya Arubiani ya Imam Hussein AS na kusema: "Wamebahatika wale ambao wako katika matembezi ya kuelekea katika Ziara ya Arubaini ambao wataisoma Ziara hiyo Siku ya Arubaini wakimhutubu Imam Hussein AS, Imamu wa tatu wa Mashia duniani."

  • Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS

    Wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran waingia Iraq kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein AS

    Nov 06, 2017 05:40

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iraq amesema hadi kufikia jana Jumapili Alasiri, wafanyaziara milioni mbili kutoka Iran walikuwa wameingia Iraq kwa ajili Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2017 04:36

    Ikulu ya Marekani White House imejibu mapigo kwa ukosoaji wa Bush baba na mwana, marais wa zamani wa nchi hiyo kwa rais wa sasa Donald Trump kwa kuzikosoa vikali sera za Marekani wakati wa uongozi wao na kueleza kwamba vita vya Iraq ni "kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS