-
Njama za Saudia na Marekani nchini Iraq ni kwa ajili ya kukabiliana na Iran
Nov 04, 2017 11:19Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa al Nujabaa nchini Iraq amesisitiza kuwa, lengo kuu la Wamarekani na Wasaudia nchini Iraq ni kuzusha mizozo na ugomvi katika safu ya muqawama kwa ajili ya kuendeleza uadui wao dhidi ya Iran.
-
Ngome ya mwisho ya Daesh Iraq yadhibitiwa, al-Abad atoa pongezi
Nov 04, 2017 04:05Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abad ametoa pongezi kufuatia kukombolewa eneo la al-Qaim, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh.
-
Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya
Nov 02, 2017 13:50Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu 'Kataib Hizbullah' nchini Iraq sambamba na kutangaza kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh lilikuwa na mpango wa uharibifu kupitia ajenda za Marekani, Israel na fedha za baadhi ya nchi za Kiarabu, imesema kuwa baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi hilo Iraq inatakiwa kujiweka tayari kwa ajili ya njama mpya za Washington na washirika wake.
-
Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa matamshi ya dharau ya Marekani
Oct 29, 2017 09:51Ahmed al-Hajib, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq, amekosoa vikali matamshi ya Heather Nauert, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa hatua yake ya kumtaja Abu Mahdi al-Muhandis, kamanda wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq kuwa eti ni gaidi.
-
Kamanda wa Badr: Itikadi za Kiwahabi zinachochea ugaidi
Oct 28, 2017 23:34Kamanda wa kikosi cha wananchi wa Iraq cha Badr amesema kuwa Daesh na makundi mengine ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati yanaongozwa na fikra na itikadi za Kiwahabi za Saudi Arabia.
-
Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria
Oct 27, 2017 01:17Marekani na washirika wake katika kile kinachodaiwa ni muungano wa kupambana na Daesh wamekiri kwamba, wameua raia wengine wasiopungua 51 wasio na hatia katika nchi za Syria na Iraq, suala linaloopandisha juu idadi ya raia waliouawa na muungano huo na kufikia watu 786.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa
Oct 26, 2017 13:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema, umoja wa kaumu tofauti na uungaji mkono wa serikali ya Iraq kwa vikosi vya wananchi na vijana waumini na mashujaa wa nchi hiyo ndio siri ya ushindi uliopatikana karibuni dhidi ya magaidi na waungaji mkono wao.
-
Kamanda wa jeshi la Marekani: Tillerson hajui chochote kuhusu masuala ya Iraq
Oct 24, 2017 10:28Kamanda wa zamani wa jeshi la Marekani nchini Iraq, Mark Hertling amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Rex W. Tillerson, hana ufahamu kuhusiana na masuala magumu ya Iraq.
-
Malaysia yasema magaidi 34 wa nchi hiyo wameangamizwa Iraq na Syria
Oct 24, 2017 01:00Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malaysia amesema kuwa, kwa akali magaidi 34 wenye uraia wa taifa hilo wameangamizwa nchini Iraq na Syria.
-
Al-Abadi: Iraq itaendelea kuwa moja iliyoungana na yenye uthabiti
Oct 19, 2017 12:43Waziri Mkuu wa Iraq Haidar Al Abadi ametangaza kuwa nchi hiyo itabaki kuwa moja na kwamba Iraq yenye uthabiti ni bora kwa uthabiti wa eneo la Mashariki ya Kati na dunia kwa jumla.