Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Nouri al-Maliki: Operesheni ya kuidhibi Kirkuk ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq

    Nouri al-Maliki: Operesheni ya kuidhibi Kirkuk ni kulinda umoja wa kitaifa wa Iraq

    Oct 17, 2017 05:06

    Nouri al-Maliki, Makamu wa Rais wa Iraq amesema kuwa operesheni za jeshi la serikali za kuudhibiti mji wa Kirkuk, hazikuwa dhidi ya raia wa Kikurdi bali zilikuwa dhidi ya wale wanaokiuka katiba na sheria za Iraq.

  • Wairaq washerehekea kufurushwa Wakurdi kutoka Kirkuk, al-Abad aamuru kupeperushwa bendera ya Iraq

    Wairaq washerehekea kufurushwa Wakurdi kutoka Kirkuk, al-Abad aamuru kupeperushwa bendera ya Iraq

    Oct 16, 2017 13:07

    Wakazi wa mji wa Kirkuk nchini Iraq wamemiminika katika barabara za mji huo kushangilia ushindi wa jeshi la serikali kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kwa hatua ya kuwafurusha wapiganaji wa Kikurdi mjini hapo na kisha kudhibiti hali ya mambo.

  • Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika

    Oct 11, 2017 23:16

    Sambamba na ushindi wa kila siku wa jeshi la Iraq na makundi ya kujitolea ya wananchi katika mapambano ya kuliangamiza kundi la kigaidi la ِِِDaesh na kusafisha kabisa maeneo yote ya nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza kuwa, kundi hilo litashindwa kikamilifu hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan

    Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan

    Oct 09, 2017 23:37

    Katika kujibu hatua ya viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq ya kukiuka katiba na kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga na kujitangazia uhuru, serikali kuu ya Iraq imechukua maamuzi mapya ya kuliadhibu eneo hilo.

  • Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya

    Iraq kuwahukumu wanachama wa ISIS, raia wa Ulaya

    Oct 08, 2017 10:42

    Vyombo vya mahakama nchini Iraq vinatazamiwa kuwatolea hukumu ikiwemo hukumu ya kifo, makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) raia wa nchi za Ulaya.

  • Ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa Iran na Uturuki

    Ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa Iran na Uturuki

    Oct 08, 2017 09:51

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kupitia taarifa rasmi iliyoiwasilisha kwa balozi za Iran na Uturuki mjini Baghdad, imezitaka nchi hizo mbili sambamba na kufunga vivuko vyote vya eneo la Kurdistan ya Iraq, kusimamisha pia miamala ya mauziano ya mafuta na eneo hilo.

  • Mkakati wa Uturuki wa kutaka kustawisha ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama na Iraq

    Mkakati wa Uturuki wa kutaka kustawisha ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama na Iraq

    Oct 07, 2017 03:14

    Waziri Mkuu wa Uturuki amesema, kufuatia kura ya maoni iliyofanyika hivi karibuni katika eneo la Kurdistan ya Iraq, nchi yake inataka kuimarisha ushirikiano na serikali kuu ya Iraq katika nyuga za uchumi, ulinzi na usalama.

  • Jeshi la Iraq laukomboa mji wa Hawija kutoka makucha ya ISIS

    Jeshi la Iraq laukomboa mji wa Hawija kutoka makucha ya ISIS

    Oct 05, 2017 04:34

    Jeshi la Iraq limetangaza kuukomboa mji wa kistratijia wa Hawija kutoka katika makucha ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.

  • Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Oct 04, 2017 04:40

    Balozi wa Iran mjini Baghdad, Iraj Masjedi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Iraq, Fuad Masoum kufutia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo ya Kiarabu, Jalal Talabani.

  • Rouhani: Mabadiliko yoyote ya mipaka yanahatarisha usalama na uthabiti M/Kati

    Rouhani: Mabadiliko yoyote ya mipaka yanahatarisha usalama na uthabiti M/Kati

    Oct 03, 2017 04:28

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuimarishwa serikali kuu za Iraq na Syria na kufafanua kuwa, mabadiliko yoyote ya mipaka ya kijiografia wakati huu yatasababisha ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo lote la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS