-
Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel
Oct 01, 2017 11:56Hussein Amir-Abdullahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Iran amesema hatua ya Massoud Barzani, Rais wa Serikali ya Eneo la Kurdistan ya kushinikiza kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya Iraq ni sawa na kulishajiisha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Iraq kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika mpaka wa eneo la Kurdistan
Oct 01, 2017 04:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq zimepanga kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika mpaka wa nchi hizi mbili kwenye eneo la Kurdistan kwa lengo la kuunga mkono mamlaka ya Baghdad katika eneo hilo ambalo lilipiga kura ya kujitenga na Iraq.
-
Marekani yakiri kuua makumi ya raia wa Syria na Iraq mwezi jana
Sep 30, 2017 04:44Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuwa mashambulizi yake ya anga yameua raia wasiopungua 50 katika nchi za Iraq na Syria mwezi uliopita pekee wa Agosti.
-
Umoja wa Ulaya wapinga kura ya maoni ya Kurdistan na kusisitizia umoja wa ardhi nzima ya Iraq
Sep 27, 2017 06:24Umoja wa Ulaya umepinga chokochoko zilizofanywa na baadhi ya Wakurdi wa Iraq za kuitisha kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi nyingine ya nchi hiyo na umesisitizia wajibu wa kulindwa umoja wa ardhi nzima ya Iraq.
-
UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani
Sep 26, 2017 04:16Kwa mara nyingine tena António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan huko kaskzini mwa Iraq kushikilia suala la kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya nchi hiyo.
-
Nouri al Maliki: Njama za kuigawa Iraq ni muendelezo wa kuigawa Sudan
Sep 25, 2017 00:40Makamu wa Rais wa Iraq alisema jana (Jumapili) kuwa, hiki kinachotokea nchini Iraq hivi sasa ni muendelezo wa njama zile zile zilizopelekea Sudan Kusini kujitenga na Sudan.
-
Waziri Mkuu wa Iraq ametaka kusimamishwa kura ya maoni kuhusu Kurdistan
Sep 18, 2017 22:08Haidar al Abadi Waziri Mkuu wa Iraq ametaka rasmi kusimamishwa kura ijayo ya maoni kuhusu kujitenga eneo la Kurdistan kufuatia serikali kuu kupinga vikali kura hiyo.
-
"Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan ni hatari kwa umoja wa Iraq"
Sep 15, 2017 09:42Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq ametahadharisha juu ya taathira hasi ya kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan, akisisitiza kuwa, kitendo hicho hakitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuhatarisha usalama, amani na umoja wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Makumi wakiwemo Wairani 3 wauawa katika miripuko pacha ya mabomu Iraq
Sep 14, 2017 10:11Kwa akali watu 50 wakiwemo raia watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu na ufyatuaji risasi huko kusini mwa Iraq.
-
Bunge la Iraq lapiga kura ya kupinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan
Sep 12, 2017 10:24Bunge la Iraq limepiga kura kwa kishindo kupinga kufanyika kura ya maoni ya kutaka kujitenga eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan.