Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Viongozi wa Daesh waendelea kujisalimisha kwa askari wa Iraq, wengine wauawa

    Viongozi wa Daesh waendelea kujisalimisha kwa askari wa Iraq, wengine wauawa

    Sep 05, 2017 23:24

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limemuua mmoja wa makamanda wake wa ngazi ya juu baada ya kutaka kujisalimisha kwa askari wa Kikurdi wa Peshmerga.

  • Sisitizo la kulindwa umoja wa kitaifa nchini Iraq

    Sisitizo la kulindwa umoja wa kitaifa nchini Iraq

    Sep 03, 2017 23:49

    Msimamo wa eneo la Kurdistan wa kutaka kuitisha kura ya maoni ya tarehe 25 mwezi huu kwa ajili ya kujitenga eneo hilo, umeendelea kukabiliwa na radiamali kali ya serikali ya Iraq, makundi tofauti ya nchi hiyo, nchi za eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla.

  • Familia za Daesh zakimbia  kaskazini mwa mkoa wa  Salahuddin Iraq

    Familia za Daesh zakimbia kaskazini mwa mkoa wa Salahuddin Iraq

    Sep 03, 2017 23:13

    Sambamba na kukaribia wakati wa kutekelezwa oparesheni ya kuukomboa mji wa Shirqat katika mkoa wa Salahhudin huko kaskazini mwa Iraq, familia za magaidi wa kundi la Daesh zimeripotiwa kulikimbia eneo hilo usiku kucha.

  • Magaidi wa Daesh kusafishwa kikamilifu Iraq, karibuni hivi

    Magaidi wa Daesh kusafishwa kikamilifu Iraq, karibuni hivi

    Sep 02, 2017 21:59

    Mbunge mmoja wa Iraq ambaye pia anashughulikia masuala ya usalama nchini humo amesema kuwa, karibuni hivi itaanza operesheni ya kuwafurusha magaidi wa Daesh katika ngome yao iliyobakia ya al Hawija na hivyo kuwasafisha kabisa magaidi hao nchini Iraq.

  • US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    Sep 02, 2017 03:23

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuua makumi ya raia katika wimbi jipya la mashambulizi yake ya anga katika nchi za Iraq na Syria.

  • Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad

    Iraq yaishukuru Iran kwa misaada yake muhimu kwa serikali ya Baghdad

    Aug 28, 2017 10:19

    Balozi wa Iraq nchini Algeria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwa nchi ya kwanza kuwasaidia wananchi wa Iraq katika wakati mgumu hasa wakati wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walipokaribia kuutwaa mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.

  • Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq

    Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq

    Aug 27, 2017 21:46

    Juzi Jumamosi tarehe 26 Agosti, Jean-Yves Le Drian na Florence Parly, Mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Ufaransa, waliwasili Baghdad, mji mkuu wa Iraq wakiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Baghdad.

  • Mji wa Tal Afar Iraq wakombolewa

    Mji wa Tal Afar Iraq wakombolewa

    Aug 26, 2017 11:20

    Duru za Iraq zimetangaza kuwa mji wa Tal Afar wa magharibi mwa mkoa wa Nainawa (Nineve) huko kaskazini mwa Iraq umekombolewa siku ya saba tangu ilipoanza operesheni ya kuwafurusha magaidi wa ISIS (Daesh) mjini humo.

  • UN yatiwa wasiwasi na hali za wanawake wa Kiiraqi katika miji inayokaliwa kwa mabavu na Daesh

    UN yatiwa wasiwasi na hali za wanawake wa Kiiraqi katika miji inayokaliwa kwa mabavu na Daesh

    Aug 22, 2017 23:17

    Ujumbe wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Iraq na ofisi ya haki za binadamu ya umoja huo zimetoa ripoti na kutangaza kuwa wanawake na wasichana wa Kiiraqi wanaoishi kwenye miji inayokaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanakabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu.

  • Operesheni kali ya ulipizaji kisasi dhidi ya magaidi yaanza rasmi Syria, makumi ya magaidi waangamizwa

    Operesheni kali ya ulipizaji kisasi dhidi ya magaidi yaanza rasmi Syria, makumi ya magaidi waangamizwa

    Aug 22, 2017 03:49

    Hatua ya kwanza ya operesheni ya Kikosi cha Brigedi ya Sayyidu Shuhadaa ya kulipizaji kisasi kwa ajili shahidi Mohsen Hojaji imeanza rasmi kwa kuangamiza zaidi ya magaidi 30 mashariki mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS