-
London yahofia kurejea Uingereza mamia ya magaidi kutoka Syria na Iraq
Aug 20, 2017 12:01Waziri wa Nchi wa Usalama wa Ndani wa Uingereza ametahadharisha kuwa tishio la ugaidi dhidi ya nchi hiyo linaongezeka kufuatia kushindwa kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq na Syria.
-
Operesheni ya kukomboa mji wa Tal Afar, Iraq kuendelea kwa mwezi mmoja
Aug 19, 2017 23:53Katibu Mkuu wa harakati ya an-Nujaba nchini Iraq ambayop ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi amesema kuwa, operesheni ya kukomboa mji wa Tal Afar kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh itaendelea kwa kipindi cha kwa mwezi mmoja.
-
Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq
Aug 19, 2017 03:37Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesema Iran na Uturuki zinaitakidi kuwa kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi ya Iraq kunaweza kuwa mwanzo wa machafuko ya muda mrefu na kuwaka moto wa vita nchini Iraq ambao matokeo yake yanaweza kuziathiri Iran na Uturuki.
-
Bin Salman aitaka Iraq iwe mpatanishi katika mgogoro wa Iran na Saudia
Aug 13, 2017 23:05Qasim al-Araji, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesema mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na mwana wa mfalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman amemuomba awe mpatanishi katika mgogoro kati ya Saudia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuendelea huduma za Hashdu sh-Sha'abi, udharura wa operesheni iliyojengeka juu ya msingi wa sheria
Aug 13, 2017 07:47Naibu Mkuu wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, Abu Mahdi al-Muhandis, amesema Jumamosi ya jana kwamba, Iraq ingali inaihitajia harakati hiyo kwani kukombolewa mji wa Mosul, hakumaanishi kuwa ndio mwisho wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria nchini Iraq, kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Aug 10, 2017 06:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria, Abdul Qader al-Masahel jana tarehe 8 Agosti aliwasili Baghdad nchini Iraq na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo.
-
Iran, muungaji mkono wa umoja na kulindwa ardhi yote ya Iraq
Aug 09, 2017 22:30Sambamba na familia ya Masoud Barzani kushikilia iitishwe kura ya maoni katika eneo la Kurdistan nchini Iraq, maulama na shakhsia wa kidini pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya nchi hiyo wamekutana na viongozi wa Iran hapa mjini Tehran na kujadili matukio yanayojiri hivi sasa nchini Iraq.
-
Iraq yataka iundwe kamati kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa US nchini humo
Aug 08, 2017 22:08Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki ametaka iundwe kamati maalumu kukabiliana na uvunjaji sheria unaofanywa na wanajeshi wa Marekani nchini humo.
-
Usalama warejea Mosul, Iraq baada ya kufurushwa magaidi wa Daesh mjini hapo
Aug 06, 2017 23:45Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Mosul, Iraq na jeshi la nchi hiyo kutoka mikononi mwa magaidi na wakufurishaji wa Daesh, usalama umerejea mjini hapo baada ya kuwepo polisi wa kusimamia amani wapatao elfu 15.
-
Haider al-Abadi: Hashdu sh-Sha'abi Iraq haitovunjwa, itaendelea kuwepo
Aug 05, 2017 22:39Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi kamwe haitovunjwa na itaendelea kuwepo.