Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq

    Aug 04, 2017 22:09

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika kile kinachoitwa vita vya kupambana na ugaidi umetangaza katika takwimu zake za kila mwezi kuwa umeua raia 624 kwenye mashambulizi ya anga uliyofanya katika nchi za Iraq na Syria.

  • UN yaipongeza al Hashdu sh-Sha'abi kwa mapambano yake dhidi ya Daesh

    UN yaipongeza al Hashdu sh-Sha'abi kwa mapambano yake dhidi ya Daesh

    Aug 01, 2017 22:21

    Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Iraq amepongeza nafasi ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi katika kufanikisha ukombozi wa miji mbalimbali ya Iraq na kulinda maisha ya raia katika vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa

    Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa

    Jul 26, 2017 03:18

    Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq imeeleza kusikitishwa kwake na kimya cha watawala wa nchi za Kiarabu kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa al-Aqsa.

  • Magaidi Madaesh 87 wahojiwa Iraq ili kupata fununu kuhusu Abubakar Al-Baghdadi

    Magaidi Madaesh 87 wahojiwa Iraq ili kupata fununu kuhusu Abubakar Al-Baghdadi

    Jul 25, 2017 22:38

    Wizara ya Ulinzi ya Iraq imetangaza kuwa magaidi 87 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, raia wa nchi 17 tofauti wanasailiwa kwenye jela za usalama za nchi hiyo ili kupata fununu na taarifa kuhusu kinara wa kundi hilo la kitakfiri Abubakar Al-Baghdadi.

  • Mwanajeshi wa Marekani akiri kuwaua kinyama Wairaki

    Mwanajeshi wa Marekani akiri kuwaua kinyama Wairaki

    Jul 22, 2017 03:20

    Mwanajeshi mmoja wa Marekani amekiri kuua kinyama zaidi ya Wairaki 2000 katika kipindi cha miaka mitano aliyohudumu nchini humo.

  • Nouri al-Maliki: Iraq haitakuwa pamoja na nchi za Kiarabu dhidi ya Iran

    Nouri al-Maliki: Iraq haitakuwa pamoja na nchi za Kiarabu dhidi ya Iran

    Jul 21, 2017 21:59

    Nouri al-Maliki, Makamu wa Rais wa Iraq amesema kuwa, nchi yake haitakuwa pamoja na nchi za Kiarabu kwa ajili ya kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kubainisha kwamba, jambo hilo halitawezekana.

  • Jeshi la Iraq: Daesh wanawaua kwa umati watu wa familia za wapiganaji wake

    Jeshi la Iraq: Daesh wanawaua kwa umati watu wa familia za wapiganaji wake

    Jul 18, 2017 10:56

    Duru za kiusalama nchini Iraq zimefichua kuwa, kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limefanya mauaji ya umati dhidi ya watu wa familia za wanachama wake kufuatia fatwa iliyotolewa na mashekhe wa kundi hilo katika mji wa Tal Afar magharibi mwa mkoa wa Nainawa (Nineveh) nchini Iraq.

  • Iraq: Kiongozi wa Daesh, Abu Bakar al Baghdadi, bado yuko hai

    Iraq: Kiongozi wa Daesh, Abu Bakar al Baghdadi, bado yuko hai

    Jul 16, 2017 10:42

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imekanusha habari za kuuawa kiongozi wa kundi la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh (ISIS) na kusema kuwa Abu Bakar al Baghdadi bado yuko hai na amejificha nchini Syria.

  • Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq

    Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq

    Jul 14, 2017 03:33

    Saudi Arabia ilituma maafisa wake wa kijasusi na kijeshi kujiunga na magaidi wa ISIS au Daesh Mosul wakati wa oparesheni ya jeshi la Iraq ya kuukomboa mji huo.

  • Radiamali ya al Abadi kwa madai ya baadhi ya taasisi dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo

    Radiamali ya al Abadi kwa madai ya baadhi ya taasisi dhidi ya wanajeshi wa nchi hiyo

    Jul 13, 2017 10:33

    Waziri Mkuu wa Iraq amekadhibisha madai ya baadhi ya taasisi za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zinazoeneza uvumi kuwa vikosi vya Iraq vilivunja haki za binadamu katika oparesheni ya kuukomboa mji wa Mosul.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS